Siwezi kumjudge kwa match moja mpaka acheze nusu msimu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] daaah aisee!!Rais DONALD TRUMP kasema ataitumia penalty ya curtois kubeba kombora la kuisambalatisha korea kaskazini[emoji1][emoji1]
Niko fiti kama morataaMkuu mbona kauli zako zimekuwa za kinyonge sana baada ya mechi ya jana? Hebu onesha mbavu kama yule mchezaji wa Arsenal aliyesawazisha.
Anyways, Morata mzuri sana ila atahitaji muda ku-cope na mazingira.
Vipi mkuuKaribu darajani Alvaro morata ucheze na nyavu.
Tunazidi kufukua makaburi
Shabiki wa Chelsea alieona mbaliMmmh ila mimi sina imani na Morata yaani ile mikiki ya EPL sijaona kama ana mbafu za kutosho kuhimili either itambidi achukue muda kidogo au atakua majeruhi mara kwa mara. Namuombea mafanikio mema
Mkuu njoo unipe report ya MorataBora Morata Kka, yaani nashukuru Mungu tulivyomkosa Lukaku, yule mtaa wa pili watajutia galasa lile. Kiherehere cha Morihno kimewaponza, ha ha ha ha ha
Shwari tu Mkuu.Vipi mkuu
Sent From My Nokia Ya Tochi
Daah, Morata bado kidogo kuzoea mazingira nitakuja kukupa report baada ya mechi tano za epl ambazo atacheza, tulia kidogo.Mkuu njoo unipe report ya Morata
Sent From My Nokia Ya Tochi
Conte ameshasema Chelsea haitanunua wachezaji ghali, inahitaji wachezaje wacheche wa kiwango cha kawaidaNa chelsea wametenga pauni milion 90 kwa ajili yake
Vipi mkuu
Sent From My Nokia Ya Tochi
Tunazidi kufukua makaburi
Sent From My Nokia Ya Tochi
Wacha hali hii iendelee maana hatutaki presha
Msimu uliopita japokuwa tulikuwa hatuna mashindano mengi hakuna alieitabiria chelsea ubingwa
So hata msimu unaokuja ni vema haters wote wakaendelea kuamini hivyo
endelea kufukua hadi ulikute kaburi la ''lukaku''.
time will tell about MORATA.
MORATA hata asipofunga mimi huwa na furaha tu akiwepo uwanjani tofauti na costa aliyekuwa haipendi team yetu.
Hahahaha yamekuwa hayo tenaendelea kufukua hadi ulikute kaburi la ''lukaku''.
time will tell about MORATA.
MORATA hata asipofunga mimi huwa na furaha tu akiwepo uwanjani tofauti na costa aliyekuwa haipendi team yetu.
Mbona unapoteza muda mkuu kuwajb, huyo morata mwenyew hat kucheza bado hajacheza, penalt anakosa Mess!!!. Msimu unaanza wenyewe watapoteana humu .........huyo Costa kama mzuri sana mbn mpaka sahiv hajanunuliwaendelea kufukua hadi ulikute kaburi la ''lukaku''.
time will tell about MORATA.
MORATA hata asipofunga mimi huwa na furaha tu akiwepo uwanjani tofauti na costa aliyekuwa haipendi team yetu.
Uzi wa mabingwa huu so lazima washoboke kidogoTatizo huu uzi ni wetu wana wa Darajani ila ajabu sijui wakuda wengine wanatoka wapi na kuponda wachezaji na timu yetu.Binafsi sijawahi ingia wala kuja ingia uzi kama wa Man United.
Sent using Jamii Forums mobile app