timu ka barca ikicheza na atletico madrid away inapata tabu sana,au kwa villareal na sevilla,sasa ndio kwa chelsea white hart lane ni nuksi kwake,man utd kwa fulham craven cottage pia
sawa ndio mechi yenu ya mwisho kushinda white hart lane hiyo ktk ligi mpaka leoUnazidi kuonyesha udhaifu wako wewe kweli ni kiazi
Haya niambie matokeo ya mechi iliyochezwa tarehe 27.08.2005 hapo White Lane kati ya Tot vs Chelsea
teh tejh teh umeniweza kaka:becky:Mkuu jibu swali pale juu! Usilete habari za sheikh Yahaya hapa......matokeo ya Tot na chelsea tarehe 27.08.2005!
sawa ndio mechi yenu ya mwisho kushinda white hart lane hiyo ktk ligi mpaka leo
teh tejh teh umeniweza kaka:becky:
wewe ni WORLD CLASS KILAZA. Kwa hiyo 27.08.2005 mpaka leo ni miaka 8 kwa hesabu zako sio? Sasa nimeconfirm kuwa uelewa wako ni ZERO.sawa ndio mechi yenu ya mwisho kushinda white hart lane hiyo ktk ligi mpaka leo
Ana matatizo huyo kilaza, hajui anachoandika hapa. Na kwa akili yake ndogo anafikiri kila mshabiki wa Chelsea kaanza wakati wa Abramovich.Mazee twende na facts na football mzee haina formula, umeona Juzi Aston Villa alifanywa nini na New castle, sintoshangaa chelsea akapigwa na Stoke City! Hahahahahahahahahah ama Arsenal akamfunga Man Utd. Wazee Chelsea tupo hapa hatutakubali mpindishe historia. Tupo tokea enzi za kina Peter Osgood !!!!!
Ana matatizo huyo kilaza, hajui anachoandika hapa. Na kwa akili yake ndogo anafikiri kila mshabiki wa Chelsea kaanza wakati wa Abramovich.
True! Jamaa analeta story za kwenye bao, bora umemkimbiza na siku nyingine akome kuja kumwaga upupu wake hapa. Hili ni jukwaa na watu wenye data na wanaojua wanachosema. Cheers matey.Nimemkimbiza napenda sana watu wa aina hii.....habari za kwenye vijiwe vya kahawa! Kaona maji marefu haya
acha zako wewe,mimi nahisi wewe ni 1 wa chelsea abramovich,hata kama nimekosea kukadiria mwaka,ila subiri tarehe 11 desemba ndio tuongee,kaka unijui vizuri niliwatabiria spain toka wamefungwa na swiss ubingwa watu wakaniona mimi chizi,soka nalijua wangu,chelsea mnaongea sana ila hamna kitu subirini mshinde tena 6 kwa stoke,hata ujerumani alishinda 4,4 ila akawakwaa spain,nyie hamna kitu mmechemsha kumuuza ballack,tusiongee sana subirini ligi ikiisha najua nyie ni kelele za wafa maji tu,sina shaka na nyieMazee twende na facts na football mzee haina formula, umeona Juzi Aston Villa alifanywa nini na New castle, sintoshangaa chelsea akapigwa na Stoke City! Hahahahahahahahahah ama Arsenal akamfunga Man Utd. Wazee Chelsea tupo hapa hatutakubali mpindishe historia. Tupo tokea enzi za kina Peter Osgood !!!!!
wewe inaelekea mmojawapo,ila usigoogle hapa mana nakujua haukawii kugoogle na kuanza kujifanya unaijua chelsea toka kitambo,google katavi na lidico basi,mimi hesabu zero,nilihesabu michezo ndio miaka,ila ni kweli hesabu mechi toka 2005 mpaka leo ktk ligi mechi ngapi hamjashinda white hart lane,lazima mkubali,mimi man utd ila nakubali fulham middlesbrough,man city zinatusumbua sana kwao,sawa na newcastle haijawahi kushinda old trafford 1972 google na hiyo basi na mara ya mwisho wamemfunga man utd ni septemba 2001 craig bellamy kipa wa man utd barthez,sina ushabiki wa kahawa nakumbuka sana wangu,usiniangalie kwa wasiwasi,wewe ndie chelsea unajua sasa vizuri kwa google na ngoja si ajabu nikasikia umehamia man city weweAna matatizo huyo kilaza, hajui anachoandika hapa. Na kwa akili yake ndogo anafikiri kila mshabiki wa Chelsea kaanza wakati wa Abramovich.
acha zako wewe,mimi nahisi wewe ni 1 wa chelsea abramovich,hata kama nimekosea kukadiria mwaka,ila subiri tarehe 11 desemba ndio tuongee,kaka unijui vizuri niliwatabiria spain toka wamefungwa na swiss ubingwa watu wakaniona mimi chizi,soka nalijua wangu,chelsea mnaongea sana ila hamna kitu subirini mshinde tena 6 kwa stoke,hata ujerumani alishinda 4,4 ila akawakwaa spain,nyie hamna kitu mmechemsha kumuuza ballack,tusiongee sana subirini ligi ikiisha najua nyie ni kelele za wafa maji tu,sina shaka na nyie
na ninaomba namba ya simu tarehe 11 desemba spurs vs chelsea nawatafuta sana watu kama nyie,ili niwaonyeshe maneno yangu yana ukweli ndani yake,hata kamali ntaichezea spurs siku hiyoNimemkimbiza napenda sana watu wa aina hii.....habari za kwenye vijiwe vya kahawa! Kaona maji marefu haya
wewe inaelekea mmojawapo,ila usigoogle hapa mana nakujua haukawii kugoogle na kuanza kujifanya unaijua chelsea toka kitambo,google katavi na lidico basi,mimi hesabu zero,nilihesabu michezo ndio miaka,ila ni kweli hesabu mechi toka 2005 mpaka leo ktk ligi mechi ngapi hamjashinda white hart lane,lazima mkubali,mimi man utd ila nakubali fulham middlesbrough,man city zinatusumbua sana kwao,sawa na newcastle haijawahi kushinda old trafford 1972 google na hiyo basi na mara ya mwisho wamemfunga man utd ni septemba 2001 craig bellamy kipa wa man utd barthez,sina ushabiki wa kahawa nakumbuka sana wangu,usiniangalie kwa wasiwasi,wewe ndie chelsea unajua sasa vizuri kwa google na ngoja si ajabu nikasikia umehamia man city wewe
msikimbie tarehe 11 desemba,kuna shabiki 1 chelsea huku alikuwa arsenal,msimu uliopita alikuja na mbwembwe eti oh leo spurs utachapa nyingi baada ya kuona wamechapa sijui sunderland mechi iliyopita 5-0,nikamwambiaje ni bora hata arsenal alichapwa 2-1 lakini walionyesha uhai,sasa nyie mtatota kabisha,siku ya mechi alilowa mana kama ball possession ilikuwa sours 95 chelsea 5,wangetulia mlikuwa mnakula 7,puvlyshenko alikosa sana mabao angekuwa crouch mngekoma na mshukuru bao lenu la penati la lampard,msimu uliopita 3,man utd ndie anamweza spurs,yani spurs hata waongoze 5-0 haf taimu kwa man utd bado wanaweza kufungwa,rudi 2001 octoba waliongoza 3-0 hadi ht,mimi niliondoka nilijua tayari dhahama mana tulikuwa tumetoka kufungwa na deportivo 2-1 ktk uefa champs ligi kwao kina tristan na pandiani na marudiano walitufunga trafford ktk makundi ilikuwa lakini knockout man utd wakajibu hadi wakamuumiza becks kisai kuwa hatihati kukosa world cup 2002,newcastle nae katuchapa 4-3,sasa nikaondoka jamaa mpenzi wa man ananiambia tumeshinda 5-3 nilimbishia mpaka nikanunua gazeti kuhakikisha hadi la blank(kocha wa france sasa) kafunga siku hiyo,sasa nakusubiri kwa hamu tarehe 11 desemba tuoneTrue! Jamaa analeta story za kwenye bao, bora umemkimbiza na siku nyingine akome kuja kumwaga upupu wake hapa. Hili ni jukwaa na watu wenye data na wanaojua wanachosema. Cheers matey.
msikimbie tarehe 11 desemba,kuna shabiki 1 chelsea huku alikuwa arsenal,msimu uliopita alikuja na mbwembwe eti oh leo spurs utachapa nyingi baada ya kuona wamechapa sijui sunderland mechi iliyopita 5-0,nikamwambiaje ni bora hata arsenal alichapwa 2-1 lakini walionyesha uhai,sasa nyie mtatota kabisha,siku ya mechi alilowa mana kama ball possession ilikuwa sours 95 chelsea 5,wangetulia mlikuwa mnakula 7,puvlyshenko alikosa sana mabao angekuwa crouch mngekoma na mshukuru bao lenu la penati la lampard,msimu uliopita 3,man utd ndie anamweza spurs,yani spurs hata waongoze 5-0 haf taimu kwa man utd bado wanaweza kufungwa,rudi 2001 octoba waliongoza 3-0 hadi ht,mimi niliondoka nilijua tayari dhahama mana tulikuwa tumetoka kufungwa na deportivo 2-1 ktk uefa champs ligi kwao kina tristan na pandiani na marudiano walitufunga trafford ktk makundi ilikuwa lakini knockout man utd wakajibu hadi wakamuumiza becks kisai kuwa hatihati kukosa world cup 2002,newcastle nae katuchapa 4-3,sasa nikaondoka jamaa mpenzi wa man ananiambia tumeshinda 5-3 nilimbishia mpaka nikanunua gazeti kuhakikisha hadi la blank(kocha wa france sasa) kafunga siku hiyo,sasa nakusubiri kwa hamu tarehe 11 desemba tuone
EL NINO samahani mimi ni RED DEVIL,THE BLUES ni timu ya Ma-MOD wa JF kuanzia Invisible,Maxence Melo,Ab Tchaz na posibly FARIDA
Samahani pia Chelsea ni timu ya WACHUNGAJIChuki binafsi mbona mimi hujanitaja?