Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kwani wewe ukisikia kidume wazo gani linakujia la kwanza? Unaniabisha ngosha
Elewa swali, usijifanye unajibu tu kumbe wewe ndio unajiabisha. Sijauliza unamaanisha nini, nimeuliza umepima kwa kipi hasa?
 
Acha kupotosha watu morata hiyo assist kaitolea wapi au alivyochemka ndo mmeanza kumtetea[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji35] [emoji35] [emoji35] ..????
Umemuona lukaku kwenye tema bora hawezi kufunga bao
Ilianza madrid
Sasa barcelona
Hamna kitu huyo lukaku atazifunga team ambazo sio bora tu
 
Umemuona lukaku kwenye tema bora hawezi kufunga bao
Ilianza madrid
Sasa barcelona
Hamna kitu huyo lukaku atazifunga team ambazo sio bora tu
Haya bhana tusubirie kwa morata akifunga gori kwenye hizi pre season afu uniqoute tena nakuhakikishia hatofunga hata gori moja mpaka ligue inaanza labda[emoji35] [emoji35] [emoji35] .!!!
 
Umemuona lukaku kwenye tema bora hawezi kufunga bao
Ilianza madrid
Sasa barcelona
Hamna kitu huyo lukaku atazifunga team ambazo sio bora tu
Kwani msimu mzima tutacheza na barca na Madrid ....

Sent From My Nokia Ya Tochi
 
Waambie maboya ao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya bhana tusubirie kwa morata akifunga gori kwenye hizi pre season afu uniqoute tena nakuhakikishia hatofunga hata gori moja mpaka ligue inaanza labda[emoji35] [emoji35] [emoji35] .!!!
Morata katoa assist ya goli la pili dhidi ya bayen
Angalao ndani ya dk30 kaonyesha kitu
Tena assist ya kichwa
 
Morata katoa assist ya goli la pili dhidi ya bayen
Angalao ndani ya dk30 kaonyesha kitu
Tena assist ya kichwa
Mbona unampatia assist morata ambayo hakuifanya..???
Ebu lete hapa clip tuone kama katoa assist au nenda live score uangalie nani kaasist hilo goli kama jina la morata lipo afu uscreen short utume huku .
 
Nimesoma nikacheka sana, nikajua kumbe Jose naye ni msanii eee..... hebu soma na wewe.....eti...

Jose Mourinho says Paul Pogba's unique value to Manchester United puts him on the same level as Lionel Messi and Neymar.

Yaani kwa kifupi:-

Pogba Level = Messi = Neymar

Ila Sidhan kama kaugusa ndo maana hata kwenye goal score update hawajaandika kaassist nani tusubirie tu mechu yenu na intermilan jumamosi tuone kama atafunga sasa huyo morata wenu[emoji35] [emoji35] [emoji35]
cheki video.. mpira aliugusa.
 
Attachments

  • morata.png
    12.5 KB · Views: 52
Pinga kwa hoja ueleweke au ujapita shule mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huna point unaongea kishabiki sana.
Kwani hapa kuna siasa??

Peleka huko man used yako [emoji33] [emoji33] [emoji33] [emoji33] [emoji33]
Tuko na conte na sio huyo mfa maji!!

sent from my jamii forums app iphone 7+
 
[emoji38][emoji12][emoji14]Jose naye naona anazeeka vibaya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pogba bora zaidi ya Kante sababu anakaba anasambaza mipira na kufunga wakati Kante yeye ni kukaba tu
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…