Chelsea FC (The Blues) | Special Thread


Unasema timu ndogo, kijana naona hujui kitu wewe Manchester United kwenye ile meza ya team nzito nzito tatu anakutana na Dallas Cowboys na New York Yankees. Real Madrid na Barcelona wenyewe wanamsubiri parking lot, sembuse Chesi yako? probably unaweza kufikiriw kuwa hata waiter.

We jamaa bure kabisa, bila shaka hapo chelsea uliletwa na wimbi la Mourinho.

Chelsea tulikupiga kwetu kama ulivyotupiga kwenu (Kumbe na nyie mlikamia, huh)

Real Madrid goli lilipatikana asilimia kubwa walicheza kikosi cha pili vs wao Kikosi kilichochukua UEFA(Kasoro Ronaldo na Morata tu teh teh) Hapa inaonesha Madrid walikamia sio sisi.

Ninyi mbona mlikamia kwa Arsenal?? Mkakamia kwa Bayern, ila mkakuta naye kawakamia (Usimkamie asiyekamiika maana mtakamiana) teh teh teeeeeeeh

By the way, nikuulize swali moja tu, Hivi kwa EPL ni Club gani ambayo kwa msimu ulioisha imekuwa na mafanikio zaidi kushinda zote?????
 
Man u sio team bora kwa sasa
Imebaki jina tu
 
Kweli wewe ni mjinga kweli tores aliifanyia nini Chelsea

Sent From My Nokia Ya Tochi
goli la pili EUFA nusu fainal chelsea vs baca alifunga yeye akatufanya tukacheze fainal na tulachukua EUFA .....siku nyingine uliza maswali ..usiulize ujinga

I BLNG 2 JESUS CHRST
 
goli la pili EUFA nusu fainal chelsea vs baca alifunga yeye akatufanya tukacheze fainal na tulachukua EUFA .....siku nyingine uliza maswali ..usiulize ujinga

I BLNG 2 JESUS CHRST

Mbona unajisumbua na watu wa aina hiyo?, Hao mpira wameanza kuangalia juzi tu, hawana hizo historia,
 
Mbona unajisumbua na watu wa aina hiyo?, Hao mpira wameanza kuangalia juzi tu, hawana hizo historia,
Siamin katika uchambuzi huu kwa kuwa hata asingelifunga tungefuzu tu kwa goli la ugenini kumbuka match ya nyumbani chelsea alishinda 1-0 hiyo tofauti yoyote ya goli moja chelsea alikuwa anafuzu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha kupotosha watu morata hiyo assist kaitolea wapi au alivyochemka ndo mmeanza kumtetea[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji35] [emoji35] [emoji35] ..????
Tunajua hujaangalia mpira mkuu, siku nyingine kabla hujabishana angalia mpira kwanza au subiri highlight za YouTube ndo uje kubishana.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…