Chelsea hatuhitaji shabiki kama wewe
Baki na mourinho mbwatukaji badala ya kuzungumzia litimu lake anahangaika na liverpool
Mkuu, naona umekuja kuwapa za uso hawa mashabiki wa timu ndogo!Kwanini washabiki wa Chelsick hamuwezi kuongelea timu yenu bila kumtaja Lukaku? Au ndio kuna ugonjwa mpya unaitwa Lukakuphobia
Siku hazifanani.mbona huyo bayern kala 4 kwa ac milan?tena 0.bora sisi tumembulia 2.Mkuu nilikuwa sijamuona jeremy boga na wenzake wanavyokichafua!!!
sent from my jamii forums app iphone 7+
Hawa jamaa wanaboa kweli.Mkuu, naona umekuja kuwapa za uso hawa mashabiki wa timu ndogo!
Mourinho alitupa champions leagueNa ninyi bakini na litimu lenu, bila ya huyo Mourihno muda huu mngekuwa kama Aston villa tu. Kwanza badala ya kumzungumzia Moratu wenu mnahangaika na Lukaku.
Team ndogo ni man fongoMkuu, naona umekuja kuwapa za uso hawa mashabiki wa timu ndogo!
Hana tatizo sana ila lile alilofungwa la mbali ndio lilikuwa lake lile
kama lukakuYANI MORATA £70 KWELI?????????
Fifa wanabudi kudhibiti iki kitu aisee
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, hawa waache wawe wanakuja kwenye uzi wa timu kubwa kupigapiga kelele!Hawa jamaa wanaboa kweli.
Acha kupotosha watu morata hiyo assist kaitolea wapi au alivyochemka ndo mmeanza kumtetea[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji35] [emoji35] [emoji35] ..????Ndiyo maana Wabongo tunafeli hata kwenye ujasiriamali. Mtu akipata loss tu siku ya kwanza anakata tamaa ya biashara. Morata kacheza tu almost dk 20 baada ya kuingia dimbani dk ya 65, sasa Kama mnafanya evaluation na kuhitimisha moja kwa moja kuwa game kachemka hapo ni kukata tamaa mapema sana. Bado Morata katoa assist ya goli la pili bado tu mnasema alikuwa anakimbikimbia uwanjani.
Kama Morata ni galasha basi Pogba ni galasha mara dufu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yemweee wejamaa duuh umeona Jana alivyokuwa anakimbia kimbia mle ndanHakuna cha mseminary wala ulaini, morata anajua kuliko costa na leagua haitamshinda wala kumsumbua, chelsea sio stoke city inayoamini katika kukamia na physical game, chelsea inacheza tactically na kwa ufundi wa hali ya juu, morata ni fundi na sio makhirikhiri kama bongoli lukaku
Nawapa tahari wapinzani wa chelsea hazard-morata-pedro/willian combination itakuwa ni tishio kuliko iliyopita
sent from my jamii forums app iphone 7+
HAHAAKUU BANA UNANCHEKESHAA... KWAHIYO UNATAKA WASIKAMIE WAFUNGWE KAMA WANAVYO FUNGWA CHESII WW NDIO FURAHA YAKO AU WAWE WANAKIMBIA KIMBIA BILA MWELEKEO KAMA MORATA AU VP MKUUTeam ndogo ni man fongo
Wachezaji wake hawana tofauti na hull city
Ndio maana wakicheza na team bora kama chelsea bayen,bacelona,madrid,juve wanakamia utafikiri ni mashindano
Team ndogo utaijua tu kwenye match za kirafiki watajifanya wana uwezo kumbe hawana
Kwenye league wanaishia mtaa wa sita
Umekuja hapa kwa sababu chelsea sio timu kubwa tu bali ni team boraMkuu, hawa waache wawe wanakuja kwenye uzi wa timu kubwa kupigapiga kelele!
Hivi hujaona auAcha kupotosha watu morata hiyo assist kaitolea wapi au alivyochemka ndo mmeanza kumtetea[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji35] [emoji35] [emoji35] ..????
Sio chesii mama weweHAHAAKUU BANA UNANCHEKESHAA... KWAHIYO UNATAKA WASIKAMIE WAFUNGWE KAMA WANAVYO FUNGWA CHESII WW NDIO FURAHA YAKO AU WAWE WANAKIMBIA KIMBIA BILA MWELEKEO KAMA MORATA AU VP MKUU
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona mwanaume hapo anaongoza[emoji23] [emoji23] [emoji23]