Bado mapema sana kuhukumu....Mkuu sio unaona, piga ua Costa ni bora mara 100 kuliko Morata, hata afanye nini hawezi fikia kiwango cha toto tundu. Tatizo ni kuwa nyie si mnataka waseminary? huyo hapo Morata mmempata, ila sidhani kama atadeliver kama Costa.
Kweli wewe ni mjinga kweli tores aliifanyia nini ChelseaWe nawe usituchafulie jukwaa letu.
Kufungwa mechi moja ndo yote hayo wanena,kaondoka ballack,drogba,torres nk.sembuse costa?aende tu
Sent using Jamii Forums mobile app
We nawe usituchafulie jukwaa letu.
Kufungwa mechi moja ndo yote hayo wanena,kaondoka ballack,drogba,torres nk.sembuse costa?aende tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Morata ni mchezaji wa kulishwa kwa staili ya Chelsea hawezi kuwika labda kama mtabadili mfumo
Uzuri Morata sio Pin Striker kama Costa, ni Aguero stail sema sasa Mlaini sana
Mkuu nilikuwa sijamuona jeremy boga na wenzake wanavyokichafua!!!
Yaaahh..!!point haswaa ila chelshit watakataa hili jamaa mlaini sana nimejiunga bando leo kwa ajili ya kumfatilia tu yeye sio mpambanaji.Uzuri Morata sio Pin Striker kama Costa, ni Aguero stail sema sasa Mlaini sana
Afu eti huyu ndo walikuwa wanamfananisha na lukaku.[emoji23] [emoji23]Uzuri Morata sio Pin Striker kama Costa, ni Aguero stail sema sasa Mlaini sana
Huna point unaongea kishabiki sana.Hakuna cha mseminary wala ulaini, morata anajua kuliko costa na leagua haitamshinda wala kumsumbua, chelsea sio stoke city inayoamini katika kukamia na physical game, chelsea inacheza tactically na kwa ufundi wa hali ya juu, morata ni fundi na sio makhirikhiri kama bongoli lukaku
Nawapa tahari wapinzani wa chelsea hazard-morata-pedro/willian combination itakuwa ni tishio kuliko iliyopita
sent from my jamii forums app iphone 7+
Mfumo ubadilishwe ili iweje ....mfumo ni ule ule na bado mtakaa tuMorata ni mchezaji wa kulishwa kwa staili ya Chelsea hawezi kuwika labda kama mtabadili mfumo
Hakuna cha mseminary wala ulaini, morata anajua kuliko costa na leagua haitamshinda wala kumsumbua, chelsea sio stoke city inayoamini katika kukamia na physical game, chelsea inacheza tactically na kwa ufundi wa hali ya juu, morata ni fundi na sio makhirikhiri kama bongoli lukaku
Nawapa tahari wapinzani wa chelsea hazard-morata-pedro/willian combination itakuwa ni tishio kuliko iliyopita
sent from my jamii forums app iphone 7+
Ndiyo maana Wabongo tunafeli hata kwenye ujasiriamali. Mtu akipata loss tu siku ya kwanza anakata tamaa ya biashara. Morata kacheza tu almost dk 20 baada ya kuingia dimbani dk ya 65, sasa Kama mnafanya evaluation na kuhitimisha moja kwa moja kuwa game kachemka hapo ni kukata tamaa mapema sana. Bado Morata katoa assist ya goli la pili bado tu mnasema alikuwa anakimbikimbia uwanjani.
Kama Morata ni galasha basi Pogba ni galasha mara dufu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Chelsea hatuhitaji shabiki kama weweMkuu hata mimi hii team yangu chelsea imeanza kunichosha bado sijaielewa na naona hivyo morata alikuwa anakimbia kimbia tu uwanjani kila akigusa mpira tu anaporwa mi naona bora costa kuliko morata ni maoni yangu tu.
Mmevamia kama kwenuMkuu sio unaona, piga ua Costa ni bora mara 100 kuliko Morata, hata afanye nini hawezi fikia kiwango cha toto tundu. Tatizo ni kuwa nyie si mnataka waseminary? huyo hapo Morata mmempata, ila sidhani kama atadeliver kama Costa.