afu uzuri wa chelsea huwa hatujui kubishana mitandaoni si tunatia kazi tu uwanjaniii..hapa hazard..kule bakayoko...pale rudiger...anamaliza mtu Kati ALVAGOOOOOOOO...ngoja tukamirishe na sandro ndio mjue kwamba chelsea tunataka ubingwa na sio manenoUtajua na man u yako
Chelsea mbele kwa mbele tu
Win win win
Hamna mwaka Chelsea wamefanya usajili wa makelele,....hahahaaahafu uzuri wa chelsea huwa hatujui kubishana mitandaoni si tunatia kazi tu uwanjaniii..hapa hazard..kule bakayoko...pale rudiger...anamaliza mtu Kati ALVAGOOOOOOOO...ngoja tukamirishe na sandro ndio mjue kwamba chelsea tunataka ubingwa na sio maneno
I BLNG 2 JESUS CHRST
Wewe ujielewi mijitu YA man mnamatatizo kweli..... Mou kaanza na morata jamaa wakamdindia 76m man mkakimbilia kwa lukaku wa 75m..... Chelsea tumeenda ma bussnesman tumetoa cash 56m na hiyo nyingine itafuata...... Mmeumia Sana na wivu unawatesa..... Na inter wamekaz kwa yule persc wanataka zaidi YA 43m watu wanajua mournho mtu wa kukurupuka Ndio maana mkigusa mnalipuliwa na midola kwa magarasa kama pogba kiwango < kanteeeeCHELSEA TUMEFULIA SANA YANI TUNA MSUJUDI BENCH WARMER AKATI UKO DRID WANAMUONA FALA2 DAAAH.... KWELI CLUB YETU BADO SANA
Sent using Jamii Forums mobile app
yaani hawajamaa hawajielewi hivi lukaku na dau alilonunuliwa anaendana????? jitu zito kama uji wa ulezi ulioganda najua hata wakala wa lukaku anawachekaWewe ujielewi mijitu YA man mnamatatizo kweli..... Mou kaanza na morata jamaa wakamdindia 76m man mkakimbilia kwa lukaku wa 75m..... Chelsea tumeenda ma bussnesman tumetoa cash 56m na hiyo nyingine itafuata...... Mmeumia Sana na wivu unawatesa..... Na inter wamekaz kwa yule persc wanataka zaidi YA 43m watu wanajua mournho mtu wa kukurupuka Ndio maana mkigusa mnalipuliwa na midola kwa magarasa kama pogba kiwango < kanteeee
Mbona hapo hujamuongelea lukaku au umemsahau naona mmemgeukia pogba ila mwanzo alikuwa lukaku naona imewauma sana lukaku kufunga goli matata la 200 GB naona mkiingia youtube kuliona hata clip haifunguki kwa sababu ya roho yenu mbayaWewe ujielewi mijitu YA man mnamatatizo kweli..... Mou kaanza na morata jamaa wakamdindia 76m man mkakimbilia kwa lukaku wa 75m..... Chelsea tumeenda ma bussnesman tumetoa cash 56m na hiyo nyingine itafuata...... Mmeumia Sana na wivu unawatesa..... Na inter wamekaz kwa yule persc wanataka zaidi YA 43m watu wanajua mournho mtu wa kukurupuka Ndio maana mkigusa mnalipuliwa na midola kwa magarasa kama pogba kiwango < kanteeee
anahadhi ya kuongelewa na timu kubwa kama chelsea???? nyie ongeeni mitandaoni pumzi yenye huwa inakatika mkiwa uwanjani sisi tukobusy na usajiri kuimalisha kikosi .....ngoja ntarudi kuongea na wewe namaliza maongezi na SANDRO huku ItaliaMbona hapo hujamuongelea lukaku au umemsahau naona mmemgeukia pogba ila mwanzo alikuwa lukaku naona imewauma sana lukaku kufunga goli matata la 200 GB naona mkiingia youtube kuliona hata clip haifunguki kwa sababu ya roho yenu mbaya
[emoji4] [emoji4] [emoji23] [emoji23]
Wewe ni mtabiri?? Achana na utabiri fake, mbona costa alifika akakiwasha mwanzo mwisho??Naomba afanye fasta ili kesho kutwa jumamosi mkikutana na asernal kwenye kombe la asia mtuletee hapa majibu,,morata ni mzuri ila itachukua sana muda kuzoea epl sijapinga usajili wenu.
1-Wewe sio wa Chelsea, ni wa upande uleee, 2- Huyo Lukaku angekua Real Madrid, hata bench asingekaaCHELSEA TUMEFULIA SANA YANI TUNA MSUJUDI BENCH WARMER AKATI UKO DRID WANAMUONA FALA2 DAAAH.... KWELI CLUB YETU BADO SANA
Sent using Jamii Forums mobile app
Team imechukua epl bila ubishi, ina wachezaji bora wa leagu halafu bado unajisemesha habari za worldclass players unataka team yote iwe ya chelsea iwe na kina lionel messi?? Au wewe unataka worldclass ya aina gani??Unashindwa tambua MORATA anacheza ligi gani na pia unashindwa jua kuwa MORATA Madrid kule alizunguka na world class player au unataka sema na cc tunao ao worls5ckass wakutisha
Sent using Jamii Forums mobile app
awa mi sibishani nao kwanza hii thread ya Chelsea yeye man u anatafuta nini huku[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] (natania)Team imechukua epl bila ubishi, ina wachezaji bora wa leagu halafu bado unajisemesha habari za worldclass players unataka team yote iwe ya chelsea iwe na kina lionel messi?? Au wewe unataka worldclass ya aina gani??
sent from my jamii forums app iphone 7+
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] alikunyima nini mbona povuuuuuuMorata ni mchezaji mchoyo sana
u sound like u r non of us.KWANN CHELSEA WENGI HATUNA FURAHA WALA HAKUNA SHAMLA SHAMLA JUU YA UJIO WA MORATA!!
Sent using Jamii Forums mobile app
embu soma comment zake zote utamuelewa vizuri....huyu ni mamruki ati anajifanya shabiki wa chelsea[emoji23][emoji23][emoji23]u sound like u r non of us.
yawezekana kweli ww ni mkuria. [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] jokeWamewaonea huruma tu msimu ujao msimgekuwa makini mngeshuka daraja.[emoji4] [emoji4]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]yawezekana kweli ww ni mkuria. [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] joke
Sent using Jamii Forums mobile app
yaani hawajamaa hawajielewi hivi lukaku na dau alilonunuliwa anaendana????? jitu zito kama uji wa ulezi ulioganda najua hata wakala wa lukaku anawacheka
I BLNG 2 JESUS CHRST
na ndio mpira....! au ulitaka asemeje?
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] bro rudi tu kwenu manure untdMorata ni mchezaji mchoyo sana