Lukaku alikuwa chaguo la kwanza la Emenalo, ambaye ni technical director wa Chelsea, lakini chaguo la kwanza la Conte lilikuwa Morata. Kama unakumbuka hata msimu wa January Conte alimhitaji Morata ila uhamisho ukashindikanaSiyo kweli mkuu,
Chaguo la kwanza lilikuwa Lukaku
La pili Morata
La tatu belloti
La nne aubamang
Auguero ilikuwa tukikosa muelekeo tumchukue
Kwani Costa alikuwa mchezaji wa Man U? Maana unaongea as if Costa alikuwa kwenye timu yenu
Sawa sawa mkuu, umerekebisha vizuri zaidi, huo ulikuwa mvutano wa ndaniLukaku alikuwa chaguo la kwanza la Emenalo, ambaye ni technical director wa Chelsea, lakini chaguo la kwanza la Conte lilikuwa Morata. Kama unakumbuka hata msimu wa January Conte alimhitaji Morata ila uhamisho ukashindikana
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa conte alikuwa wapi c Chelsea au.... Misiwaongelei manure naongelea timu yangu nasema ukweli kwa MORATA tumeliwaKwani Costa alikuwa mchezaji wa Man U? Maana unaongea as if Costa alikuwa kwenye timu yenu
Sent using Jamii Forums mobile app
Luiz hawezi kupigwa bench kirahisi aiseeRudiger
Bakayoko
Morataa
Hawa wote wanaenda kuchukua nafasi ya mtu
Rudiger kwa cahil au luiz
Bakayoko kwa matic
Morataa kwa costa
Kupigwa benchi si ubovu tu wa mchezaji lakini pia inatokana na mahitaji na mfumo wa kocha. Mfano pale Madrid Rodriguez alifaa sana kwenye mfumo wa Anshelot lakini kaja Zidane, Rodriguez akaanza kulamba benchi na sasa Ancherot kaamua amchukue kwa sababu ana confidence in him.CHELSEA TUMEFULIA SANA YANI TUNA MSUJUDI BENCH WARMER AKATI UKO DRID WANAMUONA FALA2 DAAAH.... KWELI CLUB YETU BADO SANA
Sent using Jamii Forums mobile app
Na hayo magoli 15 ya la Liga kacheza mechi 14! What a strikerWewe sio shabiki wa blues kwanza
pamoja na kutokea benchi morata ana goal 15 kwenye la liga na total of 23 goals kwenye michuano yote kama huelewi sasa niambie angecheza full time alikuwa na goal ngapi???
I BLNG 2 JESUS CHRST
Kuna poll iliendeshwa siku chache zilizopita na ilionekana mashabiki wa Chelsea wanampenda Zaidi Morata kuliko Aubameyang na AgueroKWANN CHELSEA WENGI HATUNA FURAHA WALA HAKUNA SHAMLA SHAMLA JUU YA UJIO WA MORATA!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mnajidanganya tu hamna mtu kati ya hao atakayekuja kwenu mtakoma kumfukuza costa[emoji4] [emoji4]
wewe peke ako ndo. huna fraha wengine wote huku ni shangwe tuuuKWANN CHELSEA WENGI HATUNA FURAHA WALA HAKUNA SHAMLA SHAMLA JUU YA UJIO WA MORATA!!
Sent using Jamii Forums mobile app
real amaizin!!!!!
Tatizo wewe unataka striker mwenye minguvuMmmh ila mimi sina imani na Morata yaani ile mikiki ya EPL sijaona kama ana mbafu za kutosho kuhimili either itambidi achukue muda kidogo au atakua majeruhi mara kwa mara. Namuombea mafanikio mema
Wewe ndio huna furaha. I cant imagine pale mbele patakavyo chafuka. Conte anajua kumtumia morata bhana. Ivyo wanajitapa aa ivi tutakutana AugustKWANN CHELSEA WENGI HATUNA FURAHA WALA HAKUNA SHAMLA SHAMLA JUU YA UJIO WA MORATA!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Wamewaonea huruma tu msimu ujao msimgekuwa makini mngeshuka daraja.[emoji4] [emoji4]Mkuu njoo ufte kauli yako. Nyie madomo zege mlishindwa kufanya negotiations na Real Madrid
Mkuu nakupa muda mpaka August utakuja kurekebisha kauli yako. Usipokuja utaijutia hii kauli kimya kimyaSasa conte alikuwa wapi c Chelsea au.... Misiwaongelei manure naongelea timu yangu nasema ukweli kwa MORATA tumeliwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Jmosi ni mapema sana kwake yeye kuchezaNaomba afanye fasta ili kesho kutwa jumamosi mkikutana na asernal kwenye kombe la asia mtuletee hapa majibu,,morata ni mzuri ila itachukua sana muda kuzoea epl sijapinga usajili wenu.
Mkuu mm sikatai kwamba Lukaku ni mchezaji mzuri na ameweza kuthibisha kuwa anaweza kufunga magoli mengi katika EPL, lakini nataka nikuambie kuwa Morata ni zaidi ya mfungaji.Sasa conte alikuwa wapi c Chelsea au.... Misiwaongelei manure naongelea timu yangu nasema ukweli kwa MORATA tumeliwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Caballero= Man city Rudiger=AS RomaHivi huyu caballero na rudiger wametokea timu gani?