Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

- Kolscieny ana ckadi nyekundu aliyoipata leo hivyo kumfanya kukosa mechi tatu zinazosimamiwa na FA ya Uingereza
- Gabriel kipindi cha pili aliumia hadi kupelekea kutolewa uwanjani kwa machela. Labda yeye anaweza kupona lakini bado itamaanisha Mertesacker atakuwa partner wake siku hiyo...
Another trophy in Stanford bridge.
 
Duh siku ya leo imenipita hivhivi nikijiona...nimeweza kuangalia mechi ila sikupata fursa ya kuingia humu..picha hapa labda mpaka kesho tena na uchambuzi wa mechi yetu ya ubingwa wa FA.

Naanza kucheka mwenyewe nikifikiria Kolscieny na Gabriel wote nje halafu beki mkongwe Mertesacker ndo atapewa kibarua cha kuwazuia Pedro, Hazard na Costa.

Nacheka sana...
Tukiwagonga arsenal 4 - 8,itakuwa poa sana mzee
 
Tukimpata hata Cavan E. Naye ni mzuri tu sema labda umri, falcao alifeli Chelsea lakini Monaco mbona anatupia sana!!!
 
Ni kweli, lakini hata gameiro ama greezman ni wazuri asee
Ni kweli lakini kama umeona kocha wetu anapenda watu ambao wanajituma mwanzo mwisho. Sasa ukiangalia work rate ya Hazard na Griezmann ni kama sawa, Kocha hawezi kuwa na watu wawili wa namna hiyo.

Msimu ujao tunahitaji watu aggresive kweli kweli mithili ya Kante changanya na ujuaji wa Hazard na ufundi wa Fabregas tutakuwa vizuri sana.
 
Mechi tano zilizoipa Ubingwa Chelsea lakini hiyo ya Everton ndio ilikuwa baba yao

1. Arsenal 3-0 Chelsea ( September 24)
2. Chelsea 4-0 Man utd ( October 23)
3. Chelsea 2-1 Man City ( April 5)
4. Everton 0-3 Chelsea ( April 30)
5. West Brom 0-1 Chelsea (May 12)
Pengine hiki ulichoandika ni utani au hujui ulichoandika! Kwa ufupi ni kwamba accrued points are cumulative from all games played. If you consider other games less important which Chelsea won point(s), less those points and then tell us Chelsea is the epl champion 2016/17 season!
 
Duh siku ya leo imenipita hivhivi nikijiona...nimeweza kuangalia mechi ila sikupata fursa ya kuingia humu..picha hapa labda mpaka kesho tena na uchambuzi wa mechi yetu ya ubingwa wa FA.

Naanza kucheka mwenyewe nikifikiria Kolscieny na Gabriel wote nje halafu beki mkongwe Mertesacker ndo atapewa kibarua cha kuwazuia Pedro, Hazard na Costa.

Nacheka sana...
London derby hazitabiriki kihivyo, reserve your words!
 
Pengine hiki ulichoandika ni utani au hujui ulichoandika! Kwa ufupi ni kwamba accrued points are cumulative from all games played and atleast won a point. If you consider other games less important which Chelsea won points, then less those points and tell us Chelsea is the epl champion 2016/17 season!

Mechi zote ni muhimu, lakini kuna zile vital ndio hizo nilizoziweka, mfano ile mechi tuliyofungwa na ManU iliturudisha nyuma sana na pia iliifanya ligi kuwa bado mbichi kwa sababu Totenham nao walikuwa wako karibu na wanakuja na pressure kubwa, mechi ya Everton kwanza ilikuwa ya ugenini na kama Chelsea angerungwa basi gap la Chelsea na Totenham lingekuwa point moja tu

Pia hata kwa Totenham mechi yao na Westham ilikiwa na umuhimu sana na kufungwa kwao ndiko kulikowafanya wapoteze matumaini ya ubingwa na pia kuipa Chelsea nafasi nzuri

Japo ligi ni mkusanyiko wa point kutoka mechi mbalimbali lakini kuna mechi huwa ni za muhimu na zina uzito sana
 
5382.jpg
Upuuzi wa karne huu na inavyosemekana ni Terry mwenyewe who devised the ploy
 
Nani alijua marcos alonso atakuwa star ndani ya team
Nani alijua Moses atakuja kuwa mchezaji muhimu ndani ya team
Nani alijua ubora wa Ng'olo kante kwamba atafiti katika team ya chelsea
Maana yangu ni kwamba conte sio muumini wa majina wala muumini wa kununua wachezaji wa bei gali bali anaweza kununua mchezaji kama atahisi huyu anamfaa katika mfumo wake
Kama ni star na anauzwa gali na anaona atamfaa kwenye mfumo wake atamnunua pia
So muhimu tunahitaji mabeki 2
Kiungo mchezeshaji mmoja na washambuliaji wawili bila kusahau kiungo wa kukaba na kipa wa viwango wa kumsaidia bwana mdogo pale
 
Mr. Kituko, imagine tungefungwa mechi nyingine nyingi kabla apart from those you named; hayo uliyoandika yasingekuwepo! Umuhimu wa ushindi wa hizo mechi ulizotaja umetokana na pwenti muhimu zilizopatikana katika mechi nyingine zilizotangulia. Ndiyo maana kocha Konte alikuwa mara kwa mara akisema kwamba 'our focus is the next match' which means every game was very important for him and the team to win!
 
London derby hazitabiriki kihivyo, reserve your words!

Potelea pote...tukifungwa nitajiunga na Hajis Manara kunya mjini!

Upuuzi wa karne huu na inavyosemekana ni Terry mwenyewe who devised the ploy

Upuuzi umeuona wewe!

Mr. Kituko, imagine tungefungwa mechi nyingine nyingi kabla apart from those you named; hayo uliyoandika yasingekuwepo! Umuhimu wa ushindi wa hizo mechi ulizotaja umetokana na pwenti muhimu zilizopatikana katika mechi nyingine zilizotangulia. Ndiyo maana kocha Konte alikuwa mara kwa mara akisema kwamba 'our focus is the next match' which means every game was very important for him and the team to win!

Mkuu na wewe unabishana tu au...jaribu basi kumuelewa mwenzako pia.

Ni sawa na tunavyosema Kante ndiye mchezaji bora. Haimaanishi wenzake hawakucheza vizuri ila...

Au wachambuzi wanavyosema magoli ya Hazard/Costa ndiyo yaliyoipa ubingwa Chelsea. Kuna njia nyingi za kuchambua mpira na hiyo ya mechi zilizotupa ubingwa ni mojawapo.
 
Rangi zilezile... [emoji23] [emoji23] [emoji115] [emoji115]

Mchezaji yuleyule... [emoji23] [emoji23] [emoji115] [emoji115]

Kombe lilelile... [emoji23] [emoji23] [emoji115] [emoji115]

Big up Ngolo Kante

Umesahau kuwa hata rangi ya Jezi ni ileile
 
Mr. Kituko, imagine tungefungwa mechi nyingine nyingi kabla apart from those you named; hayo uliyoandika yasingekuwepo! Umuhimu wa ushindi wa hizo mechi ulizotaja umetokana na pwenti muhimu zilizopatikana katika mechi nyingine zilizotangulia. Ndiyo maana kocha Konte alikuwa mara kwa mara akisema kwamba 'our focus is the next match' which means every game was very important for him and the team to win!

Ok kaka, nadhani tunaangalia mpira kwenye angle tofauti, na mimi sio mtaalam wa kubishana, mimi ndivyo nilivyoona, kama wewe umeona tofauti ni sawa tu hakuna shida, hatuwezi kuwa sawa kwenye mitazamo,
Unajua kuna wengine mpaka sasa wanaamini kuwa zawadi zote alizopata Kante zilimstahili Hazard ni mitazamo tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom