Kituko
JF-Expert Member
- Jan 12, 2009
- 9,555
- 9,379
Sawa Mkuu nilikuwa sina mpango wa kuziweka hapa lakini nitajitahidi ili niweze kutimiza ombi lako muda si mrefu ujao.
Pole kaka, nimeelewa msiba ulionao, so mwaka ni UEFA ndogo au?
Sawa Mkuu nilikuwa sina mpango wa kuziweka hapa lakini nitajitahidi ili niweze kutimiza ombi lako muda si mrefu ujao.
Mkuu Kituko hawa jamaa ninakochukua picha leo wamekuwa wazito mno kuziupload sijui nini kinachoendelea labda ndiyo UKATA wanajaribu kubana matumizi yao.
Ok kaka umesemeka najua wewe uko fast na fair kabisa, hope watafunguka tu, Karibu tushangilie ubingwa rasmi japo tulishauchukua tangu Conte alipotua Chelsea
Wanamzungumzia Conte kuwa kocha asiyetqbirika, hivyo anaweza leta mchezaji nje kabisa ya hao na akafanya maajabuTukiwapata hawa itakuwa gudi sana:
1. Alvaro morata
2.James Rodriguez
3.Diego godin
4.alaba
5.kelvin gameiro
6.Marco reus
7. Mbappe
Tukiwapata hawa itakuwa gudi sana:
1. Alvaro morata
2.James Rodriguez
3.Diego godin
4.alaba
5.kelvin gameiro
6.Marco reus
7. Mbappe