chilumendo
JF-Expert Member
- Oct 26, 2013
- 3,399
- 4,388
tunahitaji mshambuliaji mmoja tu kwa nafasi nyingine ulizozieleza mahitaji ni sahihi.Nani alijua marcos alonso atakuwa star ndani ya team
Nani alijua Moses atakuja kuwa mchezaji muhimu ndani ya team
Nani alijua ubora wa Ng'olo kante kwamba atafiti katika team ya chelsea
Maana yangu ni kwamba conte sio muumini wa majina wala muumini wa kununua wachezaji wa bei gali bali anaweza kununua mchezaji kama atahisi huyu anamfaa katika mfumo wake
Kama ni star na anauzwa gali na anaona atamfaa kwenye mfumo wake atamnunua pia
So muhimu tunahitaji mabeki 2
Kiungo mchezeshaji mmoja na washambuliaji wawili bila kusahau kiungo wa kukaba na kipa wa viwango wa kumsaidia bwana mdogo pale
Nimesema hivyo tunahitaji mshambuliaji mmoja kutokana aina ya mfumo wetu ambao hautegemei moja kwa moja mainstrike kufunga sana mfumo wetu unategemea winger kufunga