Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

IMG_20170521_203355.jpg

Head Coach, Antonio Conte na great Captain, Jonh Terry.
 
Huyo Mbappe bei yake haishikiki sasa na yeye atakuja kuwa kama James
Alaba sidhani kama Bayern watamwachia
Godin hapana kazeekq
James yule bure kabisa
Reus kazeeka
Hakuna Viungo bora mzee kama Marco reus na mjerumani mwenzake wa Munich, nawakubali sana hawa watu
 
Huyo Mbappe bei yake haishikiki sasa na yeye atakuja kuwa kama James
Alaba sidhani kama Bayern watamwachia
Godin hapana kazeekq
James yule bure kabisa
Reus kazeeka
Mario gotze vp naye?
 
Mechi tano zilizoipa Ubingwa Chelsea lakini hiyo ya Everton ndio ilikuwa baba yao

1. Arsenal 3-0 Chelsea ( September 24)
2. Chelsea 4-0 Man utd ( October 23)
3. Chelsea 2-1 Man City ( April 5)
4. Everton 0-3 Chelsea ( April 30)
5. West Brom 0-1 Chelsea (May 12)
 
Thierry Henry end of season Awards

Club of season:Chelsea

Manager of season:Antonio Conte

Player of season:Eden Hazard

Game of season:Chelsea Vs Spurs(fa cup semi final)

Goal of season:Emre Can vs Watford

Suprise of season:Victor Moses perfomance

Unsung hero of season:Victor Wanyama

Signing of season:Sadio Mane

Young player of season:Leroy sane

Dissapointment of season:Manchester united out of top four

One to watch for next season:Gabriel Jesus

Hapo napingana naye kwenye Unsung hero of the sEASON: Cesar Azpilicueta
 
Duh siku ya leo imenipita hivhivi nikijiona...nimeweza kuangalia mechi ila sikupata fursa ya kuingia humu..picha hapa labda mpaka kesho tena na uchambuzi wa mechi yetu ya ubingwa wa FA.

Naanza kucheka mwenyewe nikifikiria Kolscieny na Gabriel wote nje halafu beki mkongwe Mertesacker ndo atapewa kibarua cha kuwazuia Pedro, Hazard na Costa.

Nacheka sana...
 
Kama ulikuwepo kwenye wazo langu. Mbele apatikane Sanchez.

Wakuu kwani Lukaku hana namna hapo?
Kwa kweli mpaka sasa sijaona kama Lukaku amefikia vigezo vya striker tunaemtaka. Na sidhani kama Lukaku ni chaguo la Conte, japo yawezekana ni chaguo lake na anaona anaweze kumfanya bora.
 
Duh siku ya leo imenipita hivhivi nikijiona...nimeweza kuangalia mechi ila sikupata fursa ya kuingia humu..picha hapa labda mpaka kesho tena na uchambuzi wa mechi yetu ya ubingwa wa FA.

Naanza kucheka mwenyewe nikifikiria Kolscieny na Gabriel wote nje halafu beki mkongwe Mertesacker ndo atapewa kibarua cha kuwazuia Pedro, Hazard na Costa.

Nacheka sana...
Ahaa acha masiara kina Gabriel watakosa kwa nn?
 
Ahaa acha masiara kina Gabriel watakosa kwa nn?

- Kolscieny ana ckadi nyekundu aliyoipata leo hivyo kumfanya kukosa mechi tatu zinazosimamiwa na FA ya Uingereza
- Gabriel kipindi cha pili aliumia hadi kupelekea kutolewa uwanjani kwa machela. Labda yeye anaweza kupona lakini bado itamaanisha Mertesacker atakuwa partner wake siku hiyo...
 
Kwa kweli mpaka sasa sijaona kama Lukaku amefikia vigezo vya striker tunaemtaka. Na sidhani kama Lukaku ni chaguo la Conte, japo yawezekana ni chaguo lake na anaona anaweze kumfanya bora.
Kama ni hivyo basi tuweke matumaini ya kumpata Sanchez or Morata

Huenda msimu ujao tukakabiliwa na ushindani mkali sana. Kwa hivyo Conte aangalie anataka mchezaji gani? na uzuri Bosi wetu kutoa pesa si mgumu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom