dume la kenge
Senior Member
- Apr 12, 2017
- 177
- 240
Inauma lakini inafikia hatua unakubaliana na situation ndo maana kuna siku conte alisema he doesnt care conceding kila mechi so long as amepata point tatu. Bora ushinde mechi kwa kufunga 8 kwa 7 kuliko kutoa sare yenye clean sheetTumeshinda ila hili la kuruhusu magoli namna hii inanikera kweli kweli yaan, mechi ya 11 bila clean shit
