tpaul
Platinum Member
- Feb 3, 2008
- 26,023
- 25,430
Na nyie mabingwa wa BIGI FOO!1-1
Spurs mabingwa,nyie isha choka sana
Tuwe wakweli jamani
Na nyie mabingwa wa BIGI FOO!1-1
Spurs mabingwa,nyie isha choka sana
Tuwe wakweli jamani
Atakuwa mshabiki wa man huyo temananaye tuTunakukaribisha kipind cha pili pia..
Tunapenda kuona kila siku maombi yako maana yanafanya tusing mbele...
Yaan brother najua unatuombea njaa ila ha ha ha ha ha ha. Pole kaka Tadic uliekuwa unamdhani hola1-1
Spurs mabingwa,nyie isha choka sana
Tuwe wakweli jamani
Tumeshinda ila hili la kuruhusu magoli namna hii inanikera kweli kweli yaan, mechi ya 11 bila clean shitFull time... 4-2. Tulikuwa na umuhimu mkubwa sana kushinda hii mechi ili kutengeneza mazingira mazuri katika safari hii ya ubingwa.
Hongera sana Chelsea popote pale ulipo.
Malafyale njoo huku na liverfoool yako1-1
Spurs mabingwa,nyie isha choka sana
Tuwe wakweli jamani
Hahaha hiyo ni furaha kutoka moyoniView attachment 501140
David Luiz akishangilia goal la Cahil