Kunguru Mjanja
JF-Expert Member
- Aug 22, 2012
- 2,047
- 3,980
- Thread starter
-
- #38,541
Huyu dogo ile nafasi ndio inayomfaa na wala sio wing-back. Nimeelewa kwanini anakaa benchi maana ngumu kumtoa Cahill pale.
Dogo kacheza vizuri sana leo....
Weekend ishaharibika!
Kikombe cha mbuzi hicho hakina mpango! 🙂🙂😉
Kweli kabisa
Dogo kacheza vizuri sana leo....
Acha waburuzane tu sisi mtazamo wetu na nguvu zimehamia jumanne kwa Soton...game after gameWeekend imekuwa tamu sana,
Nawangojea makanjanja leo watatokaje...
mkuu leo update unazitolea kupitia jukwaa/uzi gan..Bye bye till next time!
Conte kashajua hilo, ndo maana anasema we are building something important for the teamView attachment 499882
[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
Aisee.. Kweli kabisa eti kwasababu alichafua kurasa kwenye EPLMaan kuna watu wakaanza kuamini Tottenham ni bora kuliko Chelsea yani
Namna Bora kabsa ya kudeal na stubborn teams like spurs ndio hii ya conte! Una-reserve best weapons for the last shot & last breath!Mkuu hiyo game ilikua ni knock out... Na ilikua km dk 90 bado team zilikua sare lazima kwenda Extra Time.
Sasa lazima uwe na mikakati ya team kua na nguvu na kua tayari kucheza muda wote mpk 120.
Sasa nilipoona Faby, Hazard na Costa wako nje na Spurs alikua na Walker tu nikaona strength ya Spurs haiwezi kufika ata dk 120. Maana wakiinuliwa tu hao wachezaji wa Chelsea na kuingia basi Spurs lazima wawe ktk Hali mbaya.
Leo Conte kanifurahisha sn hajachelewa kufanya sub km siku ya Man Utd. Kazifanya mapema sn.
Hongera sn wana Chelsea wenzangu woooote. [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji123][emoji123][emoji123][emoji111][emoji111][emoji111]
[HASHTAG]#Once[/HASHTAG] [HASHTAG]#Blue[/HASHTAG] [HASHTAG]#Always[/HASHTAG] [HASHTAG]#Blue[/HASHTAG] [emoji838] [emoji838] [emoji838] [emoji838] [emoji838]
Naunga mkonoMimi kwa leo natamani sana Arsenal ashinde jamani.
Mtanisamehe blues wenzangu lakini leo nitakuwa ninashabikia Arsenal. Baada ya muda nitahamia jukwaani kwao. Watafanya fainali yetu iwe rahisi kuliko kukutana tena na Guardiola..Silva..De Bruyne!!!
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] mkuu umenifanya nicheke mwenyeweNamna Bora kabsa ya kudeal na stubborn teams like spurs ndio hii ya conte! Una-reserve best weapons for the last shot & last breath!
Hazard & Costa + fabrigass walivyoingia spurs tayari walishatota tayari! Kazi ilikuwa kama kumsukuma mlevi tuu!
Conte is the master!
Sio peke yako kaka, ila naamini atae pita yeyote ni halali yetuMimi kwa leo natamani sana Arsenal ashinde jamani.
Mtanisamehe blues wenzangu lakini leo nitakuwa ninashabikia Arsenal. Baada ya muda nitahamia jukwaani kwao. Watafanya fainali yetu iwe rahisi kuliko kukutana tena na Guardiola..Silva..De Bruyne!!!
Ulikuwa uamuzi wa hatari sana! Imagine Spurs kabla ya hizo sub (Hazard, Diego & Fab) angetufunga magoli ya kutosha; je, tungeweza kuyakomboa baada ya hizo sub? Anyway kwa vile uamuzi ule umeleta matokeo positive, basi Conte anastahili pongezi!Namna Bora kabsa ya kudeal na stubborn teams like spurs ndio hii ya conte! Una-reserve best weapons for the last shot & last breath!
Hazard & Costa + fabrigass walivyoingia spurs tayari walishatota tayari! Kazi ilikuwa kama kumsukuma mlevi tuu!
Conte is the master!