Wanataft space ya kujilipuaMazeee niliwa ambiaa tunashindaaaaaaaaa.....wale mamluki bado wapooooo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hii ni Kabla ama Baada maana watamuita mchochezi[emoji23] [emoji23] [emoji23]Spurs went to Wembley 4-2 things; 1. To lose the Fa Semis for the 7th time. 2. To realise [HASHTAG]#chelseafc[/HASHTAG] will WIN it all!! [HASHTAG]#CFC[/HASHTAG] [HASHTAG]#CHETOT[/HASHTAG] [HASHTAG]#KTBFFH[/HASHTAG]
Kipa alishaenda maboya wakati huo maana Willian alimtisha kabla ya kupiga!Victor Moses anashangilia hata kabla mpira haujaingia nyavuni... [HASHTAG]#faith[/HASHTAG] [HASHTAG]#believe[/HASHTAG]
Eti ushirikina... unadhan mou ni mbongo... mnawaza kulogana tu. Zile ni mbinu tu... hakuna uchaw wala ndumbaunited hawana kikosi cha kumfunga chelsea,ushirikina wa mour ndio uliofanikiwa kuwafunga chelsea.
mkuu inshort kimbinu walituzidiMkuu vipi bado unayasimamia maneno yako kama Man U ya akina Rojo si lolote kwenu?
habari kiongoziFA semi-final!
Totenham will advance
Chelsea wont match Spurs gegern football
Totenham 3 Chelsea 1
Dogo yupo fiti. Natamani aje bridgeIla huyu dogo, Dele Ali, namkubali sana...pole zake kwa leo
Full confidence
Dogo kacheza vizuri sana leo....
Mwanaume kazini bhanaaaIla huyu dogo anachoka aisee...
Kachoka kweli ila amezoea hizo hali, maana alikuwa hivi msimu uliopita kule Leicester japo sidhani kama anaweza kuenda hivyo kwa misimu mitatu mfululizo anahutajika mtu wa kumsaidia msimu ujao sana.Ila huyu dogo anachoka aisee...