Kunguru Mjanja
JF-Expert Member
- Aug 22, 2012
- 2,047
- 3,980
- Thread starter
-
- #38,481
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwa kweli mkuu, ndio maana mwanzo nikasema acha niamini wachezaji na kocha wangu..CONTE huwa hafungwi mara mbili mfululizo mkuu... ikitokea ivyo basi ujue wachezaji wapo kwenye kamgomo.
Bet won, watu acheni mahabaFA semi-final!
Totenham will advance
Chelsea wont match Spurs gegern football
Totenham 3 Chelsea 1
Mkuu hiyo game ilikua ni knock out... Na ilikua km dk 90 bado team zilikua sare lazima kwenda Extra Time.Nilikuwa nina mashaka sana na kikosi cha mwanzo ila ikabidi niamini na hawajaniangusha, Spurs wana roho ngumu sana.
Ake amecheza vizuri kabisa, Batchuayi amejitahidi leo kulinganisha na siku nyingine. (maoni yangu)
Nalipoingia Fabregas kidogo kati palitulia, Hazard nikama aliambiwa usihangaike sana
Nemanja Matic finally settled this compelling affair with a goal from 30 yards which will accumulate YouTube views and likes for years to come. - Rob Draper on The MailSports
Kweli hawatokiChelsea hawatoki hii game..
Subiri celtavigo atakupa furahaWeekend ishaharibika!
Unajitoaga ufahamu kweli kweli n.a. utabiri wako. Sijui upo wapi saizi. Naona unauguza maumivu taratibu. Aibu yako Liverlooser wapo nafasi ya ngapi vile. Je kuna hata kombe unagombania hata moja kweliFA semi-final!
Totenham will advance
Chelsea wont match Spurs gegern football
Totenham 3 Chelsea 1
Umenena ukizingatia Leo ametoa drawHazard naye kama nimemwona na bandage mguuni sijui majeruhi ama swagger tu. Ila kama majeruhi ndo yanatukumba namna hii nitamsamehe akiuza FA kuokoa EPL. Ni heri tushinde EPL kuliko kupanga wote leo halafu tukose watu wa kucheza mid week. We need fit people against everton.
Pole yako n.a. aibu yako. Naona umetoka ukumbini kimya kimya kama umekatwa n.a. wembeee. Kiherehere tuNiko hapa kushangilia chama langu la A10 seven sisters! Come on Spurs!!!
Refa wa leo ni Martin Atkinson
Upo. Pole kwa kutokwa povu kavuChelsea hawatoki hii game..
Tatizo la ushabiki hewa. Unatoka n.a. aibu sijui kama utapata usingizi kweliWeekend ishaharibika!
Sasa best ulitaka tukushabikie bana ahhhhh!! Soka bila fitina haliendi!!! Mi najua japo nacheza na Barnely kwako si lolote wala chochote lakini kesho utakuwa upande wake ukipoza machungu ya last week[emoji23] [emoji23] ni kawaida sana kny soka relax!!!!!United manyumbu sana baada ya kuwatoa robo final Leo walikuwa wote wamechagua upande wa Tot wameumbuka si kitoto noma sana
UmejuajeNajua mtapita hapa kimya kimya tu..
KTBFFH