Ntuzu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 17,418
- 10,877
Ktk XI akipanga mabeki watatu itawasaidia ingawa shida itakuja kua hao wachezaji wenu watadumu ktk nidhamu ya huo mfumo ktk dk 90 zote?namuona Mourinho ata badili mfumo atajarib kuweka mabeki watatu
Ila kuweni makini sn kunaweza kukawa na red card tena kesho maana presha iko juu sn hasa kwenu nyie Utd.
