I hope Hazard atakuwa keshatoka kwenye Herrera's pocket next game!Very poor performance kwa kweli, credit kwa Man u kwa marking makini sana.,.. still i don't see us loosing the trophy this season.
KTBFFH
Jamaa kafanikiwa mbinu zakeNaona Hererra leo hamwachi Hazard
kwani mechi saa ngapi?Masaa hayasongi kabisa...
![]()
.....and plan for the worst.....Nadhani kocha ataliona hili,let hope for the best.
pole buddy.Toa Zouma weka Willian. Pedro acheze nafasi ya Alonso, Azpilicueta arudi kwake na Moses arudi nafasi yake.
Kisha toa Matic weka Fabregas.
I wish tungekuwa na reliable mbadala wa Costa.
Khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeee....kwani mechi saa ngapi?
Yeah mmefunga magoli ya kutosha 0-2!Sijui aisee. Ila nahitajika kwenda kanisani. Yani first half naiangalia vizuri kisha ile half time naenda bafuni napiga passport ya hatari...nikitoka naanza kujiandaa (kuvaa) kwa dakika kumi hivi then nasepa. I hope tutakuwa tushafunga magoli ya kutosha mpaka hapo.
Khe khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeTutaheshimiana tu
Totenham mabingw wapya EPL
Team yako inapigwa easy sana na Everton
Ander Herrera empties his pockets when he gets home:
Phone
Keys
Wallet
Eden Hazard
What a performance.
Tutawafunga 2-0!Kesho niko OT mkuu niambie Utd na Mourinho mtafanya nini?