Hazard anadeserve mana ukiangalia mashambulizi mengi y magoli yanaanzia kwake ...........JAMIE REDKNAPP
PLAYER OF THE YEAR
Eden Hazard: Of the shortlisted players, Hazard is the player you would pay the most to see. He has made the difference for Chelsea this year.
![]()
Adha za kuwa beki. Hata Kante kuwa hapo ni kazi kubwa kafanya aisee.Hazard anadeserve mana ukiangalia mashambulizi mengi y magoli yanaanzia kwake ...........
Kuna mtu anaitwa Azpilicueta huyu jamaa anapiga sana kazi" na hajawahi kushuka kiwango, pia sijawahi kumwona ameumia, alipaswa pia kua kwnye list ......... sijui kwanini huwa haonekani!!" hata Man Of Match!! cjui km alishawahi kupata"
vipi mkuu? umeiona press ya Costa?Adha za kuwa beki. Hata Kante kuwa hapo ni kazi kubwa kafanya aisee.
vipi mkuu? umeiona press ya Costa?
Jamaa shida tupu huyuHA HA HA...
![]()


mpira hautabiriki kabisa mana mlishajitangazia ubingwa .....na kesho man u wanawazabaAsantee sheikh YahyaKama nawaona mashabbiki wa chelsea ...mlikua mnaongoza zaidi ya points 10+ sasa hivi zimebaki point 4 tuu....mpira hautabiriki kabisa mana mlishajitangazia ubingwa .....na kesho man u wanawazaba
Asantee sheikh Yahya
Kesho sio mbali...
Majibu yanapatikana uwanjani sio kweny keyboard




