toa fact inayoonesha kante ni bora basi sio kupiga poyoyoNo, fact bado inabaki Kante ni bora kuliko Herrera!!!
Chelsea vs Manchester united games, mbili ambazo tumecheza wote.toa fact inayoonesha kante ni bora basi sio kupiga poyoyo
Herrera m'bovu tu. ..yuko Manchester msimu wa ngapi hu? Kaifanyia nini man cha maana? M'bovu tu uyo hamna kitu anajua, acha zako wewe ..Kante ni level ingine.umeongelea vitu viwili vinavopingana ndugu, sasa sijajua msimamo wako ni upi.
Tunaongelea performance ya herrera na kante, we unaongelea Manchester kuwa namba 6 na chelsea kuongoza ligi, umesahau kuongoza ligi ni team performance sio individual performance. umesahau kuwa vermaleen alichukua uefa na barca wakati akina bonucci, T silva, David luiz etc wanaangalia kwenye tv, au unataka unambie vermaleen alikua mzuri kuliko hao?
Handerson na buttner walichukua epl wakati gerald kaishia kubusu kamera
umeongea kuhusu mfumo na jinsi makocha wanavowatumia, hapa sijakuelewa ndugu, kwamba mfumo anaotumia conte haujamkubali kante ndio maana takwimu zake zipo chini kuliko herrera???
hapo kwenye red umekubali kuwa takwimu zinaonesha herrera ni bora kuliko kante ila ni underrated?
kodianChelsea have suffered a major blow after Eden Hazard was ruled out of today's match at Stoke with a leg muscle injury.
It is believed Hazard sustained the problem during training this week, not because of the constant fouling by Man United players.
Conte admitted that he did have some concerns about a couple of players, and it was Hazard he was specifically referring to.
The nature of Hazard's injury is bad enough that he is expected to withdraw from international duty for Belgium.
Antonio Conte is expected to now play with both Willian and Pedro alongside striker Diego Costa at the Britannia Stadium.