UrbanGentleman
JF-Expert Member
- Jun 19, 2016
- 2,584
- 1,886
hapa ndipo mahala pekee nikiingia naondoa stress zangu za kule kwetu arsenal not only that kuna kijana ananipa raha sana hapa kwa umahili aalionao katika wa kuzibiti DUARA KUBWA aisee ogopa uwa najikuta nacheka maaana uwa nalinganisha kamwili kake na shughuli anayoifanya aisee BANK isubiri sana heshima kwenu N.KANTE