Hb wa Ilala
JF-Expert Member
- Sep 23, 2015
- 1,190
- 1,217
..Japo mpira wa Jana ulikosa mvuto lakini All In all Majirani Hongereni bana Japo tunawaombea Njaa [emoji122][emoji122]
saizi anaitwa 3 in one![]()
SHIKAMOO KAKA N'GOLO MI SHABIKI WA MANUTD NAKUSAMILIA
yale yalikuwa maagizo ya mourinho na ndiyo tabia yake kucheza dirty gameAisee jamaa jana walihakikisha wanamfyatua Hazard mpaka akome...ila nashukuru Mwamuzi alisha ling'amua hilo.....
Alizoea kumuonea mzee Wenger, ila sasa kakutana na mvuta bangi wa Kiitaliano.Mourinho inabidi atulie tu kwa Conte... Because he is Italian Mafia
Daaaaaaaah ,Leicester city wazee wa historia..... Mguu wa kwanza UEFA champions league mpaka robo fainali moja kwa moja...... Tunawaandika sana Leicester ila wenyewe wanajiandikia wanachokitaka.Dah Leicester wanafanya yale waliofanya wachezaji wetu kwa Mou....dah hizi timu za Blue si za mchezo mchezo