Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Walitaka kukimbia na hawana break....what did they expect


Walitaka kumuiga tembo...wamepasuka msamba!!!
 
Kubaki mabas yao wametunyima unshind wa maana hawa hila sio mbya
Go go chelsea
 
Man utd pamoja na kelele za mashabiki hawakuja kushinda leo. Mourinho kaja kutoa draw tu sema alisahau kuwaambia wachezaji wake wawe waangalifu. Matokeo yake refa angekuwa fair wangebaki 8 uwanjani.
 
Aiseeee alichofanywa pogba ni aibu haaaaa,haaaa kapigwa Bonge LA CHENGA akaona isiwe taabu Bora kumvua Kante jezi pale Akili ndogo inapotaka kutawala Akili kubwa uwiiiiii
Pale alikuwa anaulizia bei ya huyo jamaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nilicheka sana hiyo chenga haifanani na bei ya PL Pogba
 
Man utd pamoja na kelele za mashabiki hawakuja kushinda leo. Mourinho kaja kutoa draw tu sema alisahau kuwaambia wachezaji wake wawe waangalifu. Matokeo yake refa angekuwa fair wangebaki 8 uwanjani.
Ingekuwa Barca ile card ya herera mgesema kabebwa
 
The draw for the semi-finals of the FA Cup is

Chelsea v Tottenham

Arsenal v Manchester City

Ties to be played April 22/23.
 
"Imagine Chelsea without ng'olo or Kante".... Wale waliobuni lile tangazo la super sport sijui waliwaza nini nimewaza hapa kutokana na kazi wanayotoa wale super sport na Yule ng'olo kante wao.....

77979a5a8664269d074917b712e6c85f.jpg


Chelsea anatembelea kichwa, miguu, akili, moyo, mapafu na macho ya Claudio Kantelele........ Kuna wakati unahisi wapo kante watatu uwanjani.... Mmoja ana analinda, wa pili anachezesha timu na mwingine anashambulia...... Mungu kamuumba kante mfupi, mweusi lakini anawazwa sana kuliko watu mweupe na warefu....

5361a3348caaaf532d4c44274e77ede0.jpg
.

Kiukweli Marcos Rojo kwanza ndio afuate Dave save(de Gea).... Mabeki Wengi Wakizungu wanakosa roho mbaya miguuni na umafia.... Wao wamejaaliwa umafia pekee Bila roho mbaya miguuni. Washambuliaji wa kaliba ya Diego Costa wanahitaji kukabwa na mabeki kaliba ya Marcos Rojo...... Beki bora kabisa wa kati katika mchezo huu maana kumficha Diego costa huyu sio kazi rahisi.

ef917e703edfc771ed44de8f52602fd4.jpg


Mzee wangu jose umezoea kumuonea wenger ila nahsi umeonja wenge za muitaliano make kidogo yatokee tale ila kiukweli bado rafiki yangu Conte unahitaji ku install mbinu za ku unlock padlock kama zile zilizowekwa na Manchester united, make walijitahid kwendana na wendawazimu wako dimbani

c22628ffd9f74d4d02b13ad89ce58eaa.jpg


Umakini wa hazard changanya na umakini wa Ander H ndo umesababisha tuone kilichotokea wengine wanasema danganya Toto ila kumlaumu refa ni kujitafutia sababu make aliona kutokea nyuma ..... Waswahili wanasema kila shetani na Mbuyu wake na Oliver ni mbuyu wa shetani mwekundu tu......
89a87b33fccb13c5a6fa7ebe66839a4c.jpg


c32abf5b1c2bac287d58d7a4816bd06a.jpg


Hakukua na jinsi ilikuwa ni lazima mmoja w afungwe na atoke...... FA cup robo fainali kushney..... Tukutane nusu fainal.

Mwenye bei halisi ya Kante jamani kabla ya dirisha la usajili kufika ?

Chelsea 1-0 Manchester united.

Next ...spurs kazi kwenu ...Blues forever
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom