Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hahahaha ataanza siku, hiyo siku hiyo nakupa Fellain akumalize hhahah looooh ukitaja Fellain OT unaweza pigwa mawe japo kajitahidi kufunga ila bado hajajisafisha nyota
Yaan Fellain akianza na Herrera battle ya midfielder nimeishinda, hawataweza nguvu za Kante na Matic.

Kazi itabaki ndogo sana
 
Hahahaha weee subiri sisi untouchable na hatutabiriki hatuna first eleven inayoeleweka siku hiyo itakayokushukia ndiyo hiyo hiyo
we ngoja tu nakuambia, yaan labda Carrick na Herrera. Utanikimbia siku hiyo mshikaji wangu, na unavyokuwa mpole baada ya kipigo.
 
Huyo Conte bhanaaa ana akili ya mpira na ana vitu vingi sana ambavyo anaweza kuvileta pale Stamford Bridge ,

kawakuta wachezaji lakini ameweza kuwaunganisha na kuleta vitu ambavyo vinamfanya Sir Alex Fagurson ajutie kauli aliyoitoa kuhusu Chelsea
 
8e102ba939170c724e76483ce0194e00.jpg


Ila Chelsea sio watu wazuri
 
ni time ya fabrigus kwenda kwenye timu ambayo atakua anapewa nafasi 1st eleven, inaniuma sana kumwona anakaa benchi..........
 
Man U safari hii tunawachapa

Haaaa, bado hamjakata tamaaa tu na usajili wenu mbovu wa Pogba,
yaani Pogba na £89Mil ni sawa na Moses £9Mil + Matic £20Mil + Konte £30Mil + Willian £30Mil yaani mtu mmoja ashindane na Vichwa vinne vyenye akili, kweli inawezekana hiyo?

MancheSITA mjipange msimu ujao, najua Mou atachezesha mchezo wa fujo wa kutafuta sare ili asitoke nafasi yake ya SITA aliyojisimika kwa zege
 
Mnaweza mkawa mabingwa wa EPL
Lkn hamuwezi mkawa wafalme wa soka la Uingereza
Nyie ni mabingwa lkn Liverpool ni wafalme
 
ni time ya fabrigus kwenda kwenye timu ambayo atakua anapewa nafasi 1st eleven, inaniuma sana kumwona anakaa benchi..........
Conte hataki kumuuza Faby, anajaribu kutafuta mfumo ambao unaweza ku sue Faby na yeye acheze kwa wakati mmoja. Km ilivyokuwa kule Juve Pirol umri ulikua umeenda lkn Conte alikua anaona Pirol ana vitu vya ajabu ingawa alikua hawezi kwenda sambamba na kasi ya wengine. Akaswap kutoka mfumo wa wa 3-4-3 to 3-5-2 na Pirol akawa anapiga muda wote.


Conte anakiri wazi Ktk chelsea hakuna master passes km Faby, anakiri wazi kabisa hakuna master asists km Faby. Na akitaka kuwin possession lazima Faby aanze. Sasa lazima hivyo ndio vitu vinamsumbua sn Conte na ametamka wazi kabisa Faby hatoondoka. Ila atatafuta mfumo mzuri ili wote wapate nafasi. Labda itokee wamesajili master passes mwingine lkn kwa sasa Faby hatoki na Conte kashapigilia msumali.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom