Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Bado Nina hasira na babu yake everlenk, kwanini alitutoa kwenye mbio za ubingwa??? Huyu babu anazeeka vibaya, etii Chelsea haipo kwenye title race???? Fyuuuuuuuuu
Hahahhahahha fyuuuuuuuuuu na wewe!!! Mnashinda mpka kerooo aaaaarrrrggggghhhhhhhh!!!![emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Sasa wewe unatafuta msonyo tena ngoja nikuache kwanza unajua ukiwa unafungwa unakuwa una hasira hasira tu[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Mmmmh nisonye tu. Maana msonyo wa mupenzi mtamu [emoji13] [emoji8] [emoji13] [emoji7] [emoji7]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] japo sikuwepo ila mshikaji wangu ulijenga nyumba huku mwaka jana.
Aiseee nilisaga sumu balaa mpka nikaacha mwenyewe maana washkaji wote waliacha jukwaa nikabaki na kipenzi Ntuzu mara aje mara asije,hahahhaha kuna mcharo wangu naye akaacha wosia jukwaa lingine wacha nipaniki nikajua nishampoteza hahahhaha ila Mentor ulinichanganya na zile hadithi zako ujue japo sikukwambia sijui ndo zilikuwa stress za Chelsea ukaibuka na bonge la hadithi.!!!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] mshikaji wangu wewe hapana. Kile kipindi kigumu ulituweza sana.....acha tuwe wengi now wakati wa neema.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom