Kunguru Mjanja
JF-Expert Member
- Aug 22, 2012
- 2,047
- 3,978
- Thread starter
- #37,081
Hazard by name, Hazard by nature.
Leo Costa kazingua alikuwa na hamu sana ya kufunga, nadhani kutokana na kukosa penalt juzi na mambo yanaendelea kuhusu China. Anawakoseha wenzake nafasi za wazi kabisaWalikuwa wakufa zaidi ya 5-0 ila Costa amezngua
kumbe nawe umeliona angempasia mwenzie lile lilikuwa goliCosta leo ana njaa ya magoli mwenyewe haoni hata wenzake wakiwa peke yao
Kesho kusanya vijana wenzako, ufike Segerea ili nimkabidhini "ndoo" enyu.*KTBFFH*
![]()
More than harzadous
Kesho kusanya vijana wenzako, ufike Segerea ili nimkabidhini "ndoo" enyu.
Usifurahi sana, ushindi wa leo utaleta bahati mbaya kweri kweri kwenyu.
Lile bao la kwanza halikupaswa kukubalika na mwamuzi. Usiniulize kwa nini, uliona na angalia replay. Bao la 2 safi sana . Bao la 3 Cech aliamua kuizawadia timu yake ya zamani.
Kaniuzi sn. Tulikua tushinde Goli 5. Maana kawanyima mipira ya wazi kabisa mara mbili.kumbe nawe umeliona angempasia mwenzie lile lilikuwa goli
Leo Costa kazingua alikuwa na hamu sana ya kufunga, nadhani kutokana na kukosa penalt juzi na mambo yanaendelea kuhusu China. Anawakoseha wenzake nafasi za wazi kabisa
Chelsea kajitangazia ubingwa mapema.... asipochukua bingwa wa EPL mwaka huu mimi nameza kisu
Tena naongeza kumeza na Mundu Chelsea asipokua bingwa nameza panga
Hii kitu menyewe ni Kalou, wewe unalazimisha tu.
Bingwa uko wapo siku hizi?umeniachia warembo wote MMU alone
Ile inaitwa [HASHTAG]#sologoal[/HASHTAG]ukiliona goli la hazard ndiyo utajua kijana huwa wakati mwingine anacheza nusu ya uwezo wake