Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

fc43932d615b13d87b6fc72a98d941d3.jpg

Babu amekubali mwenyewe[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Babu alitakiwa awaambie wachezaji wake, leo ndio mtadhihirisha kama ninyi ni waume au wa jinsia ile.
Hii tu ingeliwatosha kuwafanya red/white kufa uwanjani kwa kujituma. Hii mechi ingelikuwa "asali" kweri kweri leo.
FB_IMG_1486223424976.jpg


Mind the gap. It's now 12 points. Catch us if you can [emoji14] 😀[emoji106] [emoji123] [emoji122]
 
View attachment 467207

Mind the gap. It's now 12 points. Catch us if you can [emoji14] 😀[emoji106] [emoji123] [emoji122]
Mfyuuuuuuu mind the gappppppppppp uuuuuuùuhhhh!!!!!!!!! Hahahahahaaa!! haya bana tumekubali kumind the gap.... ngoja sisi tuangalie side B vya kitandani vikitushinda basi hata vya uvunguni tuambulie. ..... Hongereni sana you deserve to be there [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Hongereni kwa kulipiza kisasi ila.....mhhhh hatukohohiiiii

Duh, malengo yetu wala sio kulipiza kisasi, tuko kwenye mkakati na malengo ya Kuchukua Kombe, msiwe na hofu, kombe halitaenda kwenye Jiji la Manchester bali tutalibakisha London na litakuwa letu wote, Arsenal, Totenham nk, ila tutalificha maana Wenger anaweza kulipitia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom