Chelsea tuko vizuri, shida kidogo kwa CostaWakuu tathimini kipindi cha kwanza mbona kimya... Ntuzu, kalou, kunguru mjanja, Mentor, mjingamimi, pamoja kuwakilisha Chelsea.!
Costa leo ana njaa ya magoli mwenyewe haoni hata wenzake wakiwa peke yaoChelsea tuko vizuri, shida kidogo kwa Costa
Bwihi..! Bwihi..Chelsea 2 - 0 Arsenal
M. Alonso 13'
Hazard 53'
yaani Hazard anapiga chenga Arsenal wanaanguka tu hatari sana