Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hawa madogo wetu sijui kwanini wamekuwa wazito hivi...yaani hawajitumi kabisa wameshajikatia tamaa mapema wangali bado vijana....
 
nimependa kuwa tumeshambulia mpaka mwisho wa mchezo, hatujapaki basi ila madogo hawa wanazingua
 
Asanteni sana kwa kunitakia heri ya siku yangu ya kuzaliwa. Huku Honolulu mechi yetu nimeiangalia asubuhi sana saa 05:30am.


Hivyo mimi ndiyo kwaaanza ninaianza hepi besdei yangu..tarehe 28/01 what a way to start my big day...big in so many ways...May God keep guiding my feet!



On tot he next one..Tuesday...KTBFFH.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom