Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Naomba nichukue nafasi ya Mentor kwa muda katika kutoa maelekezo flani flani kwa kocha wachezaji na mashabiki, maana jamaa huwa hayuko humu mechi ikichezwa
 
Tunaweza kutumia nafasi ya beki huyu mahiri kuumia kwa costa na pendo kupress zaidi..
 
1485102824761_lc_galleryImage_Football_Soccer_Britain_C.JPG

Diego Costa akijaribu kufunga ndani ya sekunde kumi za mwanzo

1485105979275_lc_galleryImage_Diego_Costa_of_Chelsea_sc.JPG

Diego Costa akifunga goli la kwanza kwa Chelsea.
 
Samahani wakuu, naomba mnipe link ya kutazama mpira online...hii yangu inascratch sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom