Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Uyo dogo bora tulivyomkosa kipindi Mou anamfukuzia
Muda mwingine mkuu mchezaji anakuwa bora kutokana na maelezo ya kocha wake na mfumo wanaocheza uwanjani.

Mfano; David Luiz kwa sasa ni moja ya mabeki bora kabisa, ila kipindi anakuja msimu huu alikuwa naonekana kilaza na anafaa zaidi kucheza kiungo. Na Mourinho pia alikuwa akimuona hivyo.
 
Kutokana kas yake kwa kupachika mabao na kuwa na clean shet nying kwa timu za epl bila shaka wana uwezekano mkubwa wa kbeba kikombe
 
Umeona epl n laliga na bundasliga,ligue 1

Hapo ndo upeo wako ulipoishia
 
wenzako wakitangulia kucheza inakupa nafasi kujipanga zaidi namna ya kuingiza majeshi
 
b20913ef48b67b312be7871a4d68cd51.jpg
kwetu sisi ni sherehee asante sana Swansea
 
Eti Liverpool na Spurs ndo "wanatukimbiza"... Haters mtutafutie new haters hawa wameshakuwa followers ..
KTBFFH
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom