chilumendo
JF-Expert Member
- Oct 26, 2013
- 3,241
- 3,939
Yawezekana ni sahihi au sio sahihi lakini kwa upande wangu bila kumung'unya maneno issue ya diego ni sahihi kabisa anatatizo na sio injury ukisoma baadhi ya vyombo vya habari vinasema diego siku ya jumanne akiwa mazoezini alilalamika kuwa ana back heel pain ambapo alichunguzwa ikaonekana hana hayo maumivu anayoyalalamikia hapo ndipo mgogoro unapoanzia.Hao Sky sports na The Sun sio watu wa kuwaamini kihivyo especially kipindi hiki cha usajili , Conte , Cahill na Alonso walipohojiwa jana walisema Costa ana maumivu ya mgongo na tokea siku tatu nyuma kabla ya mechi ya jana alikuwa anafanya mazoezi peke yake na Costa mwenyewe kabla ya mechi alipost kwenye Instagram page yake kuwatakia ushindi timu,
Hakuna inshu kubwa yoyote zaidi tu ya media hype.
As far as all official news na sio udaku Costa is still blue.
Kwa nje tutaambiwa kwamba hakuna shida lakini ndani ya club kuna tatizo lakini kuficha yote hayo ni kulinda utulivu uliopo ktk club