Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

In support of Allan Birchenall

3C21788100000578-0-image-m-19_1484417180040.jpg


Mashabiki wote waliwasha tochi za simu zao kwa muda - dakika ya 10 ya mchezo - kum-support Allan Burchenall ambaye kwa nyakati tofauti alizichezea klabu za Chelsea na Leicester City. Alipata cardiac arrest siku chache zilizopita.

3C21786300000578-0-image-m-17_1484417145310.jpg



Anaendelea vizuri hospitali...
 
OMEN (from opta joe)

3C21507600000578-0-image-a-15_1484415686094.jpg


Yaani msimu ambao tulimfunga bingwa mtetezi home and away, tulichukua ubingwa msimu huo.

Msimu wa 2009/2010 tulimfunga bingwa mtetezi (manchester united 2008/2009) home and away na msimu huo tukaenda kuchukua kombe...

NICE to know..tumemfunga tena bingwa mtetezi this time (home and away)...lets wait and see!!!!
 
Walikuwa wamejipanga kuja ku comment hapa lakini ndo hivyo tena, 3-0 unakuja kusema nini kwa mfano, ngoja tuendeleze kale kamsemo ketu
Mind the Gap
KTBFFH
Kama umeoteshwa kalou. Nilikuwa na washabiki wa arsenal, Liverfool na Manfogo aiseeee hawa watu wanashida sana. Mara leo chelsea anaogea magoli 2 bila mara 4 bila. Leo diego hayupo wakawa wanasopoti sana costa aende china. Mim nawacheki tu. Kilichowatokea wanajua wenyewe.
Nilichojifunza kwa hawa wenzetu ni kuwa Timu yetu ya chelsea haipendwi kisa chelsea wakiisha kaa mbele ni wabishi sana kushushwa tofauti na arsenal, man u, man city na liverfol wao hawana garantee ya kukaa kileleni.
Ndiyo maana last week tulivyofungwa na spurs Dunia nzima ilisimama kudiscuss chelsea haaaaaaaaa

Go chelsea goooooooooooooo.......!!!!
 
3C21942200000578-4120460-image-a-54_1484420870219.jpg


Nilipenda ambavyo mashabiki wa Leicester walivyoshangilia pale ambapo mtangazaji alipotaja jina lake kwenye line-up ya Chelsea.

[HASHTAG]#sportsmanship[/HASHTAG]

3C217BB200000578-4120460-image-a-56_1484420927069.jpg



Sababu ya Ranieri kupanga 3-5-2 leo ilikuwa kupunguza nguvu ya Kante. Msimu uliopita alisema wakati anapanga kikosi chake (Kante akiwepo) ilikuwa ni sawa na kuwa na midfielders watatu - yaani Drink water katikati na Kante kulia na kushoto kwake.

Shida ni kuwa Ndidi na Mendy bado sana kufikia level ya Kante.


Midfield ninayoiheshimu msimu huu kwa EPL ni ya Wanyama-Dembele pekee.


3C2099DD00000578-4120460-image-m-60_1484421002659.jpg


Humble guy from humble beginnings...akiendelea hivi atafika mbali! To create a name with the likes of Claude Makelele.
mambo yakienda vizuri huyu bwana atachukua kombe msimu huu tena
 
mambo yakienda vizuri huyu bwana atachukua kombe msimu huu tena


Na atakuwa ameweka rekodi ya pekee EPL kuwa mchezaji wa kwanza kuchukua kombe consecutive seasons na timu mbili tofauti.

Mwingine anayeisaka rekodi ni David Luiz maana akiwa Chelsea ameshachukua makombe makubwa yote isipokuwa EPL. Amerudi kukamilisha rekodi yake hiyo.
 
Costaaa anazingua sn ngoja tuone itakuaje cz hakuna mchezaj alie juu ya club
Leo ndo mnaona hilo!? Bado hazard. Kipindi walipomhujumu Mourinho mliwasifu,sasa kuleni matapishi yenu. Na mtu akizoea kula nyama ya mtu tu hataacha,ataendelea tu!
 
Ila costa kanisikitisha sana...inaonekana hana mapenzi kabisa na timu

Costaaa anazingua sn ngoja tuone itakuaje cz hakuna mchezaj alie juu ya club
Hao Sky sports na The Sun sio watu wa kuwaamini kihivyo especially kipindi hiki cha usajili , Conte , Cahill na Alonso walipohojiwa jana walisema Costa ana maumivu ya mgongo na tokea siku tatu nyuma kabla ya mechi ya jana alikuwa anafanya mazoezi peke yake na Costa mwenyewe kabla ya mechi alipost kwenye Instagram page yake kuwatakia ushindi timu,
Hakuna inshu kubwa yoyote zaidi tu ya media hype.
As far as all official news na sio udaku Costa is still blue.
 
Paul scholes-Garry Cahill is "slow and he can't turn". Hapo paul scholes nimemuelewa sana, kwenye kikosi cha chelsea mtu dhaifu/weak/fault ni cahil tu, nami nililiona mapema kabla hata scholes hajamfungukia.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom