Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hiyo left wing ni bora amrudishe Kennedy
 
Tunajua nini tunafanya, na ndo maana tunafurahia wee subiri soon utarealize nini kilinifurahisha
Sawa sawa mkuu, mnajua mnachokifanya. Hayo ni mapenzi kwa timu ila kocha wako na wachezaji ndo wanajua wanafanya nini
 
Namaanisha Ntuzu alikua hajui kama iufungwa ni sehemu ya mchezo

Kaka wewe na wenzio hebu niwaulize kitu, kipi kilichowafurahisha leo kwa Chelsea Kufungwa?, kupoteza point au kushindwa kufikisha mechi 14 bila kufungwa, maana mi naona bado kuna gap kubwa tu kati ya Chelsea na NYIE WOTE
 
Daa kiukweli leo mpira tumecheza m'bovu sana ...Wanyama alaaniwe kabisaa haiwezekani mchezaji mmoja azuie timu nzima aisee ...daaah imeniuma saana isee daah!! [emoji26] [emoji26] [emoji26]
 
Kaka wewe na wenzio hebu niwaulize kitu, kipi kilichowafurahisha leo kwa Chelsea Kufungwa?, kupoteza point au kushindwa kufikisha mechi 14 bila kufungwa, maana mi naona bado kuna gap kubwa tu kati ya Chelsea na NYIE WOTE
"Kunywa maji mwanangu"..
 
Kwa hiyo Tottenham amekula matunda leo? Au wanaofurahi kusikia "mind the gap" ndio wamekula matunda leo?
Yanaitwaje matunda ya mti wa Chelsea?
Hao walio chini yetu, ilikuwa inwauma sana kuona tunaenda kuvunja record na kukaa kileleni kwa tofauti ya point nane. Sasa tumefungwa wamepata vya kuongea.

This is Chelsea tumefungwa tutasimama tena.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…