[emoji3] [emoji12] [emoji14] [emoji13] [emoji38] [emoji23]Lets wait na mimi nilisema kama tuna shinda ntaweka silaha chini.
So now nasapot tuu.
Ni rahisi kumfariji mgonjwa wewe ukiwa mzima[emoji23] bhana @Ntunzu
Hahahaa[emoji3] [emoji12] [emoji14] [emoji13] [emoji38] [emoji23]
I do trust Mourinyo a lot..... He is right manager for Utd now..... And in this season He will end up the second possission.... On top of liverpool and city and Gunners.
No man.... Don't you see now...Hahahaa
Wewe kweli shabiki wake haswa
Yes ni kweli, ila pia hapa kwenye mwezi wa kwanza mpaka wa 3 utadetermine twenda wap.No man.... Don't you see now...
Mko na tofauti ngapi ya points kwa Spurs, City Gunners na Lfc??? Huoni km ni rahisi kwa yeye kukuja hizo points???
Men you don't need to worry anything.... What you have to do, just put your trust on Mourinyo then everything will work out nicely.....Yes ni kweli, ila pia hapa kwenye mwezi wa kwanza mpaka wa 3 utadetermine twenda wap.
Hebu tusubiri kwanza tuone
Arsenal alishinda mechi 13 kwenye msimu mmoja kisha mechi 1 kwa msimu uliofuata...haijawahi tokea kwa timu yeyote kushinda mechi 14 mfululizo kwa msimu mmojaHii inashikiliwa na arsenal alishinda mechi 14 mfululizo. Tukimfunga Spurs tutakuwa tumewafikia arsenal kwa record. Na next gem tukishinda tutakuwa tumevunja record ya arsenal mkuu.
Mkuu kwa sasa zile card zimerisetiwa, hivyo Luiz ili akose mechi atapewa kadi sita.Leo Luiz akipewa kadi ya njano ingawa siombei hilo litokee next game utamuona Zouma ndani.....
Ni kweli ni 14 kwa misimu 2..sisi itakuwa 14 kwa msimu mmojaTulia huna unalojua arsenal kafikisha 14
Okay asante sn mkuuMkuu kwa sasa zile card zimerisetiwa, hivyo Luiz ili akose mechi atapewa kadi sita.
Rekodi ya Arsenal ni ta Kimagumashi mechi 14 kwa misimu 2 ila chelsea itakuwa mechi 14 msimu 1[emoji23] [emoji23] [emoji23]Sasa ya arsenal itakua hujaivunja bali umeifikia
Okay asante sn mkuu
Nimeupenda mjadala huu,Hapo ndo penyewe "pedro & matic" ndani, nilikuwa nafatilia page ya chelsea "chelsea news now"-naona matic anakamatia dimba la chini huku pedro akiungana nahazard & costa.
Yes hicho ndio kilichopoushindi wa leo ni maandalizi ya kuinua kwapa mei
ushindi wa leo ni maandalizi ya kuinua kwapa mei