Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

leo refa limeamua kwamba hakuna kubebwa kijinga jinga .ndio ndio refa mpe kadi nyekundu masanilo na peasant nao popote walipo.
chelsea wamepaniki hii game, wanaona kama vile ubingwa ndo basi....
 
Tuliwaambia bila mpunga hii Chelsick kwishnei. Mafia to the core No fweza no winning khe khe khe taliban supporter yuko wapi na mambo yalivyojiri. Peasant leo kenda kulima hamuwezi kumuona Masanilo aka Kikojozi tololo khe khekh e ngoja tusubiri maana wako Invisible sana.

Hesabuni hapo nyuma mechi zao za utata ni ngapi ndio mtafahamu hawa pensioner si chochote si lolote.
 

umemaliza mkuu, umemaliza kabisa kha kha kha, tena dk zinavyoenda unaona spurs wakiongeza mabao siyo chelsea, bora arsenal walionyesha upinzani khe khe khe.
 
Chelsea pensioners get manager Carlo Ancelotti's vote of confidence

...namna gani pale, MASANILO upo??? Nyie Chelski mna laana ya Mourinho,..you will Never be EPL champions again!

 
kweli ukiona mwenzako ana nyolewa na wewe tia maji kichwa chako ha ha ha. neeeeeeeext man united .
 
dah! hata hivyo mshukuru, jamaa walikuwa wanawalamba mengi leo. bahati ilikuwa kwenu.
 
kweli ukiona mwenzako ana nyolewa na wewe tia maji kichwa chako ha ha ha. neeeeeeeext man united .

aha ha haa...kabisa kabisa...Nawashauri Manure waje na wembe wao wenyewe, Spurs watawanyoa na chupa siku hiyo...!!!
 
kweli ukiona mwenzako ana nyolewa na wewe tia maji kichwa chako ha ha ha. neeeeeeeext man united .

Mtani hawa watoto wa spurs tunawachapa wiki ijayo, yani hakitoeleweka kabisa. Chelsea kwa Man Citeh hatoki...
 
dah! spurs noma, yaani katika mechi 2 ngumu (Arsenal&Chelsea) wametoka na point 6. Tusubiri hiyo na Man Utd ila najua lazima walale, maana wanatujua vizuri. Huwa wanatangulia kwa goli 2 hata 3 halafu tunawakuta na kuwaongeza. Huwa hatufuti historia.

Matokeo ya leo yanamaanisha
(1) bingwa bado hajulikani
(2) Arsenal imerudi ktk title race
(3) Spurs wanataka nafasi ya 3
(4) Liverpool asahau nafasi ya 4
 
Syestem upgrade itakuja soon.

...nakweli, lol!
maagizo ya mganga wao wa mlingotini anayefikiri anaweza kugeuza matokeo ya EPL kwa rimote control ya mabua!
 

...In their dreams!!!!!!!!!!!!
 
Syestem upgrade itakuja soon.

ha ha ha Invisible hayupo hivyo, anachofanya ni kutotembelea thread hii. Pole sana, Invisible, Peasat, Mwl. Ab (Abtichaz) na wapenzi wote wa darajani.
 
Syestem upgrade itakuja soon.


Bora wewe unafahamu mambo ya hapa khe khe khe kheeeeeeee walichonga sana wakafikiri mpunga ulishatolewa kumbe wenzao wamebadilisha marefa last minute khe khe kheeeeee
 


Red alert khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeee​





You know who causes pandemonium .... .....​





Acheni Lotte ..... ...​




Defoeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee​





Don't tell me Chelsick 2 - 1 Spurs ... ...​






Thats the oneeeeeeeeee.. .... ....​






Gareth Baleeeeeeeeeeeeee .... ...
​


Maumivu yakizidi muone daktari wa JF ... ...

​

Khe khe khe kheeeeee​
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…