BekaNurdin
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 2,267
- 2,044
Yaani huyu baba asije akakatisha furaha yetu kwa kufanya mabadiliko yasiyo na tija! Mungu amsaidie kufanya maamuzi sahihi na mema!kati ya hao hamna atayepumzishwa,hao ndiyo moyo wa chelsea
Hawaendani na 3-4-3 kabisa na hapo labda zouma tu lakini ivanovic tery aina ni majanga tunajitakia tuSasa hapa mbona unasajili backbone mpya tena!
Ni nini hao waliopo benchi na uwanjani wanakikosa bro?
Naona mnakosa imani na kocha sasa,hatuwezi kuchezesha timu ile ile mwanzo wa msimu mpaka mwisho lazima tubadilishe ndo maana kuna wachezaji wa akiba,mimi nashauri hazard aanzie benchi ili kupumzika zaidi maana january kuna game nyingi na ngumuKatika imani yangu ni kuwa chelsea hizi team ndogo anasumbuka sana kuliko hata unavyoweza kufikiria leo tunacheza na crystal palace na utaliona tena hili tatizo kama hawajaliona ni bora ucheze na mkubwa mwenzio anaefunguka una uhakika wa kumpiga 3 au 4 lakini hizi team zinazoziba njia chelsea wanateseka sana
Wapumzike kama ni majeruhi lakini kama hawana injury wacheze wote kitendo cha kuwaweka au kuwapumzisha kwa niionavyo crystal palace tutafungwa leo hata sare itakua ngumu leoNaona mnakosa imani na kocha sasa,hatuwezi kuchezesha timu ile ile mwanzo wa msimu mpaka mwisho lazima tubadilishe ndo maana kuna wachezaji wa akiba,mimi nashauri hazard aanzie benchi ili kupumzika zaidi maana january kuna game nyingi na ngumu
dah sitaiwahi hii game, ngoja nitafute link kabisaSaa 9:30
Karbu mkuu, ujionee "pass mvua+pass ruler"Crystal Palace 1-0 Chelsea fc
Tb joshua kanihakikishia leo hamshindiKarbu mkuu, ujionee "pass mvua+pass ruler"