The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,352
- 122,346
Haya ni maneno tu ya kumfariji mgonjwa, mkuu unafaa sana kumuuguza mgonjwa...teh! teh!Kwa kuishiwa nguvu huku na tubao twako twa bahati huwezi mfunga yyt anayekuja kuanzia sasa
Usikimbie hapa Jumamosi kwa CL
Benteke hawezi kuacha,umeisha choka
Liverpool hamna mechi ambaye hawezi funga bao kuanzia 2
Kama tufungwe basi mpinzani afunge 3
Wewe huwezi tena funga bao zaidi ya 2
Everton na Man City namaliza mechi dakika 45 za kwanza
Hapo umeniuahili kombe tushindwe wenyewe tu. Ukiangalia ratiba yetu iliyobaki ukifananisha na ratiba iliyopita siye tuna mteremko wa kitonga tushindwe wenyewe.
Wapinzani wetu wote ratiba zao ngumu tukizichanga vizuri kalata zetu ubingwa unaweza kuwa wetu kabla round ya pili haijaanza.
January tuna ratiba ngumu kweli.sisi tumebakiza game nyepesi kuliko wenzetu city, asernal na liver. asernal bado na city na evarton, liver bado na city wakati city bado na liver na asernal , kwa hyo lazima wapunguzane point wao kwa wao
alishindwa kuwafunga hao tuliowaacha point 13 aje kutufunga sisi thubutuNani sasa hayaogopi MAJOGOO?
Naona anguko kubwa la CHELSEA
Mmeishiwa tayari nguvu,mnaanza kwa CL
Benteke hawezi waacha
Mmechoka sana!
Naombeni record ni timu gani Epl imeshinda mechi 10 mfululizo au tisa mfululizo bila kufungwa tofauti na Chelsea?
Mwenye jibu naomba
unachosema ni kweli kabisa na nafasi ambayo bado inasumbua ni pale mbele tukipata mchezaji mfungaji mzuri kumsaidia diego na hazard ubingwa ni wetu. Huwezi kumtegemea willian kwenye ufungaji hana mbinu hivyo siku diego na hazard wasipocheza vizuri hatuna mchezaji kalibre ya wao ktk ufungajiJanuary tuna ratiba ngumu kweli.
Yani ndani ya January tunakutana Na Spurs, Gunners, Leicester city na LFC. Na bado kutakua na vi upuru upuru vya vi timu vingine km viwili hivi.
Yani hii December tukomae kweli kushinda hivi vimichezo vitatu vilivyobaki then Jan tununue wachezaji km wawili hivi alafu tuendelee Na kuwakimbiza
Naombeni record ni timu gani Epl imeshinda mechi 10 mfululizo au tisa mfululizo bila kufungwa tofauti na Chelsea?
Mwenye jibu naomba
unachosema ni kweli kabisa na nafasi ambayo bado inasumbua ni pale mbele tukipata mchezaji mfungaji mzuri kumsaidia diego na hazard ubingwa ni wetu. Huwezi kumtegemea willian kwenye ufungaji hana mbinu hivyo siku diego na hazard wasipocheza vizuri hatuna mchezaji kalibre ya wao ktk ufungaji
Ni kweli mkuu. Ukiangalia statics zinavyoonyesha yani lazima tulitakiwa tushinde nyingi sn.Sikufanikiwa kuangalia game yetu dhidi ya Sunderland ila ndiyo nimemaliza kuiangalia sasa hivi.
Mtazamo wangu;
- Costa has been such a revelation msimu huh. Game nzima nimemuona akijituma sana. Always looking for passes and assisting others bahati tu kipa wao leo amejitahidi sana. But kudos to him aisle.
- Willian, Pedro n Moses wanahitaji kufanya shooting practice aisee. Maana, kabla ya kuangalia mechi hii kwa kuangalia matokeo tu unaweza ukadhani tulielemewa sana kumbe ni watu wachache kule mbele walikuwa na goal chances wakapiga mipira ambayo hata mimi siwezi kucheza hivyo aisee...such a shame.
- Kudos to Courtouis kea another clean sheet. Kuna stoppage mmbili alizifanya; moja ya dk. 47 na lie ya dakika za nyongeza anastahili sifa kwa kweli.
- Natamani kusema we missed creativity ya Hazard ambayo si kwamba haikuwepo ila naamini Hazard angekuwepo zile chances alizokosa Willian Hazard asingekosa aisee...so open chances!
Anyway, on for Saturday/Sunday? bado tuko vizuri dana tofauti na nilivyodhani kabla ya mechi. Kati, nyuma na striker wetu Costa. Nadhani kocha atalipa uzito suala la shooting aisee...wanashoot kama wamefungwa macho, hakuna creativity esp Willian na Moses wamenisikitisha.
With the performance najua hatuwezi kushindwa (lose) games ila tunahitaji shots on target na smart shots za Hazard na Costa...
On we go [HASHTAG]#KTBFFH[/HASHTAG]...on top of the league.
Bring them Crystal palace...
anarudi j mos na crystal palace usihofuKuna taarifa hazard ameumia sasa sijui itakuaje hii
Ahsante mkuu. Naamini hii record tutalivunja tu one day
Kabla ya mechi ya jana
Hawezi kuachaHivi Wacha1 bado anatuwangia Chelsea?
mkuu sina na tatizo na mtazamo wako lakini kwa mtazamo wangu hao wachezaji uliowasema hata ungewapa practice ya kushoot sidhani kama wanaweza kuwa na consistence yoyote,ufungaji nao ni kipawa ili ufunge goli unahitaji ufundi ambapo hao wachezaji uliosema hawana labda abaki yeye na golikipa. Ndiyo maana napendekeza tupate mchezaji pale mbele goal scorer sio hao wakina willian.Bado natamani tumpate mbadala wa Alonso kabla ya kuangalia wafungaji.
Wale kule mbele wanahitaji mazoezi tu kwa kweli ya ufungaji...maana possession iko poa, shots nyingi ila 80% ziko off target halafu hizo 20% zinazobaki ni direct shots kwa kipa, hazina ubunifu. Naamini specific mazoezi kwa ajili ya hilo itatatua shida hii. Mwishowe tutaanza kutegemea magoli ya deflected shots!