Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

KABLA YA SAFARI MAZOEZI YALIFANYIKIA STAMFORD BRIDGE BADALA YA COBHAM...

3AF6F47F00000578-3994624-image-a-11_1480694877842.jpg


Branislav Ivanovic akiwania mpira na Eden Hazard huku dogo Nathaniel Chalobah akishangaa


3AF6F4E900000578-3994624-image-a-13_1480694908873.jpg


The always competitive Cesar Azpilicueta huku kwa background ni Cesc Fabregas na Ruben Loftus Cheek


3AF6EC6400000578-3994624-image-a-15_1480694935280.jpg


The Brazilian wonder kids....Willian na Oscar.


3AF6F46300000578-3994624-image-a-17_1480694970565.jpg


Nathaniel Chalobah akiwania mpira na Diego Costa



3AF6F8BB00000578-3994624-image-a-19_1480695001639.jpg


Fabregas na Loftus Cheek.



3AF6F9D900000578-3994624-image-a-21_1480695040398.jpg


Mnaijeria Obi Mikel na Marcos Alonso...


3AF6F48C00000578-3994624-image-a-25_1480695144950.jpg


The beast Alone.


3AF6F46C00000578-3994624-image-a-27_1480695196511.jpg


Goal keeper namba 2: Asmir Begovic huku kipa namba 3: Eduardo akiangalia


3AF6F41900000578-3994624-image-a-29_1480695226124.jpg


Mitchy Batshuayi akishangilia kufunga mazoezini...

3AF6EC7000000578-3994624-image-a-31_1480695257983.jpg


Oscar Emboaba...


3AF6F8E400000578-3994624-image-a-7_1480694777142.jpg


Kurt Zouma na Pedro walikuwepo.



3AF6EDE300000578-3994624-image-a-46_1480695439589.jpg


The geezer...David Luiz!!!
Zouma kishaanza mazoezi?
 
Ahahaha...nilikuwa nakusubiria. Hivi wewe ndo ulisema game ya Tottenham na Manchester city ndo zitadhihirisha tumecheza na timu kubwa? ama mpaka niende kwenye archives?

[HASHTAG]#ripManyaga[/HASHTAG]
Hahaa nishakubali mpo vzr kwa sasa, naisubiri game ya baadae, kama conte atanidhihirishia kuwa kweli mpo vzr
 
Match itakuwa ngumu sana sioni jinsi ambavyo city watakubali kufungwa itategemea na ni jinsi gani wachezaji wa chelsea wataichukulia hii game ya ugenini
Kama kuna match inanipa wakati mgumu kutoa prediction zangu ni hii ya leo na niseme tu yeyote anaweza kufungwa kwa jinsi atakavyoichukulia match yenyewe
Ni mechi ngumu mno kuitabiri kwa siku ya leo
Mimi kama chelsea nitafurahi sana kama wafungaji wataifanya kazi yao vizuri na kama wakishindwa kazi ipo kwetu kwa kua tunaweza kuupoteza mchezo huu kwa kua city na chelsea zote zinataka kukaa pale juu kwenye table
Tunakwenda etihad stadium lakini nina wasiwasi mwingi sana city ni watu wa mbio sana na hii ndio hofu yangu leo
Sijui conte na players wake wanaichukuliaje match hii ila umakini hasa ulinzi unatakiwa kua imara sana leo kuliko wakati mwingine wowote
Nitapenda kama tukishinda huu mchezo ila hata sare nitaridhika kabisa
City wanatafuta ushindi na chelsea wanatafuta ushindi na hapa ndio mchezo unapikosa wa kutabiri sawasawa
Najua kuna team itashinda lakini sijui ni ipi na magoli yatakua si zaidi ya 3 katika mchezo huu
I love you chelsea
 
Hivi mdau "NONDA" yupo wapi?????? Long time no see him posting any rhetoric.
 
Chelsea team today: Courtois; Azpilicueta, David Luiz, Cahill (c); Moses, Kante, Fabregas, Alonso; Pedro, Diego Costa, Hazard. [HASHTAG]#CFC[/HASHTAG]
 
Kosa kubwa ni matic kuumia na kumwanzisha fabrigas sikubaliani na conte bora angemchezesha obi mikel
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom