[QUOTnahisi Marcos Alonso anahitaji kukaza sana jana sijaona zile cross though alicheza vizuri ,ikutokea hii 11 inamajeruhi hawa benches wanaweza intergrate na kuleta matokeo maana jana zile sub tulizo fanya timu ililemewa,conte must look his squad depth uzu, post: 18651459, member: 162152"]Ili kukabilia Na mfumo Wa 3-4-3 anaotumia Conte timu pinzani lazima ihamia mbele ktk eneo lenu kuwakabiri. Wakifanya hivyo back line ya wachezaji watatu lazima izidiwe. Hivi ndio walivyofanya spurs Jana. Walikua wanapanda mbele sn tena Kwa makusudi mpk ikawa inawatia hofu wachezaji Wa Chelsea kupanda mbele Na kina Matic Na Kante wakawa wameelemewa Na pia timu ikawa pushed back Kwa nguvu sn.....
Sasa ili kukabiliana Na hali km hiyo lazima kutumike nguvu taratibu ya kumtoa adui ktk aeneo lako tena Kwa ushirikiano Wa timu yote Na ndicho walichofanya Chelsea na kurudi ktk mfumo wao Wa kawaida.