The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 34,428
- 103,945
Nope, i got nothing to sayOne down, one to go!
Bado una neno la kusema.
- Best team in November
- Costa Best November Player
- A. Conte Best November Coach.
December here we come...
Km umeiangalia vzr game ya jana unaweza ukajifunza mengi sn. Spurs walikania sn huu mchezo pia Chelsea walifanya makosa Fulani ingawa mpk wanaenda mapumziko walijitahidi kuweka mambo sawa Na kipindi cha pili wakaja Chelsea wakiwa vzr sn.
Kutokana na huu mchezo wetu Wa Jana kuna vitu Conte anapaswa avifanyie kazi tena timu ibadilike Zaidi ya hapo kwasababu tunakwenda kucheza big game away so wajipange vzr Zaidi ya hapo ili kuweza kuwafunga city
Nope, i got nothing to say![]()
Let me pray for you guys chukueni ubingwa, ikishindikana kabisa uende man city lakini sio arsenal wala liverpool.
ALL THE BEST
Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
Ili kukabilia Na mfumo Wa 3-4-3 anaotumia Conte timu pinzani lazima ihamia mbele ktk eneo lenu kuwakabiri. Wakifanya hivyo back line ya wachezaji watatu lazima izidiwe. Hivi ndio walivyofanya spurs Jana. Walikua wanapanda mbele sn tena Kwa makusudi mpk ikawa inawatia hofu wachezaji Wa Chelsea kupanda mbele Na kina Matic Na Kante wakawa wameelemewa Na pia timu ikawa pushed back Kwa nguvu sn.....Mfumo wetu unapata shida endapo timu zitaattack sana hivyo back three wanakosa kupass to the midfield imejionyesha zile 30mins za kwanza
Ukiona tu Dele Alli na Mchina Son mpira umewashinda basi huna budi kuendelea kuiheshimu historia....... Ni ngumu kuweka historia mpya kama viungo wako bora kabisa na tegemezi wanakuwa hawapo mchezoni......
Chelsea wanazuia wengiiiiiiiii wana shambulia wachache.... Ila Spurs wanazuia wachacheeeee wanashambulia Wengi..... Plan za Spurs zilikufa individuality nayo pia ila Dembele, wanyama ndio walikuwa hai.
Spurs keshachezewa...... Chelsea anaendelea kuchezea..... Kileleni ni haki yake.
Chelsea 2-1 Spurs
Nimecheka sana
Yaani wamenishangaza walivyoingia timu ndio ikazidiwa tenaWillian na Ivanovic
Itoshe tu kusema, waendelee kuridhika na benchi kwa sasa.
Walau Oscar kidogo alionesha uhai.
Willian na Ivanovic
Itoshe tu kusema, waendelee kuridhika na benchi kwa sasa.
Walau Oscar kidogo alionesha uhai.