Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Anthony Conte..... Alichomfanya Kwado Asamoh kule Juventus ndicho anachomfanya Victor Moses hapa Chelsea.......
Alonso na Moses wanacheza juu pembeni ya mabeki watatu wa kati.... Hapa Moses na Alonso wanazuia kwa wakati lakini pia wanashambulia kwa mipango ila pia wanajaza idadi kubwa ya viungo eneo la juu ya wale mabeki watatu wa nyuma...... Ina maana wanatengeneza mstari wa viungo wanne pamoja na wale wawili wa chini (kante na matic).

Kwado Asamoh alikuwa ni inside ten pace(%) ila alishifti mpaka kufika katika left full wing back na sasa Moses anashifti mpaka kwenye right full wing back..... Talent workability inafanya kazi yake

Kukaba ni kazi rahisi sana ila kushambulia ndio kazi ngumu sana..... Kwa sasa Moses anafanya kazi rahisi ya kukaba pia anafanya kazi ngumu ya kushambulia......

Kwa kazi hizi tutaendelea kumuona Victor Moses Kila wikiend kwenye line ups za Tony sababu ya uafrica wake kwanza(roho ngumu katika kukaba) na katika ubora wake (ubunifu katika kushambulia......

Tulikusahau kabisa asee kama tunavyomsahau obi na Mikel.......
Nakubaliana na wewe 100%. Na huo mfumo umemsaidia hazardous Hazard. He's been relieved of defensive duties za wakati wa Mou. Sasa hivi yupo kama simba mbarara anapatrol kila kichaka [emoji23] [emoji23]
 
Yaan wale watu watatu pale mbele (PHD) Pedro, Hazard na Diego wanajua nini cha kufanya tukiwa tunashambulia na tukiwa hatuna mpira.

Hawa wing backs tukiwa tunashambuliwa wanafanya mabeki kuwa watano, tukishambulia tunakuwa nao pembeni kabisa kule wakati PHD imeingia ndani kidogo kwenye box la wapinzani.
 
Boro lazima wapaki bus they have strong defensive mentality....lazima Hazard na Willian waanze pamoja ili wawaforce kufunguka
 
kumbe na wewe umeliona hawa jamaa watapaki bus kibaya zaidi willian hayupo benchi
 
Capture.PNG

Subs: Begovic, Ivanovic, Terry, Chalobah, Fabregas, Oscar, Batshuayi.

Boro team;
Valdes; Barragan, Chambers, Gibson (c), Fabio; Traore, Forshaw, Clayton, De Roon, Ramirez; Negredo.

Subs: Guzan, Rhodes, Bernardo, Leadbitter, Fischer, Downing, Nsue.
 
Anthony Conte..... Alichomfanya Kwado Asamoh kule Juventus ndicho anachomfanya Victor Moses hapa Chelsea.......
Alonso na Moses wanacheza juu pembeni ya mabeki watatu wa kati.... Hapa Moses na Alonso wanazuia kwa wakati lakini pia wanashambulia kwa mipango ila pia wanajaza idadi kubwa ya viungo eneo la juu ya wale mabeki watatu wa nyuma...... Ina maana wanatengeneza mstari wa viungo wanne pamoja na wale wawili wa chini (kante na matic).

Kwado Asamoh alikuwa ni inside ten pace(%) ila alishifti mpaka kufika katika left full wing back na sasa Moses anashifti mpaka kwenye right full wing back..... Talent workability inafanya kazi yake

Kukaba ni kazi rahisi sana ila kushambulia ndio kazi ngumu sana..... Kwa sasa Moses anafanya kazi rahisi ya kukaba pia anafanya kazi ngumu ya kushambulia......

Kwa kazi hizi tutaendelea kumuona Victor Moses Kila wikiend kwenye line ups za Tony sababu ya uafrica wake kwanza(roho ngumu katika kukaba) na katika ubora wake (ubunifu katika kushambulia......

Tulikusahau kabisa asee kama tunavyomsahau obi na Mikel.......
mkuu ina maana tumempoteza willian
 
Nantafuta Mentor ing I d I o t s is he around? Au amejificha hadi mpira uishe? Vipi Invisible au na yeye anachungulia tu ... .... .. ... ...Middlesborough piga magoli hao wanunua games ... .... ... ... ... .... .. ..
 
Let the game begin....Middlesbrough wanaanzisha mpira.
Ooops kumbe upo khe kh kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee safi chana usikimbie tu magoli yapo hapo .... .... .... .. Ding ... Dong.

BTW Mancs ndio basi tena?
 
Nantafuta Mentor ing I d I o t s is he around? Au amejificha hadi mpira uishe? Vipi Invisible au na yeye anachungulia tu ... .... .. ... ...Middlesborough piga magoli hao wanunua games ... .... ... ... ... .... .. ..
Nikiwa naangalia game yetu huwa sichat sana ila nipo sana mkuu...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom