Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hapa sio wachezaji wamemuelewa, Kocha hapa ni Kocha na wachezaji wameelewana. Michezo 5... Magoli 16.... Hajaruhusu goli hata moja katika nyavu zake.... Chelsea anaogopesha tangu ahamie 3:4:3.....

Everton walishindwa kumkaba hazard... wakashindwa kumkaba Costa.... Walishindwa kumkaba mtu yeyote lakini pia wakashindwa kuziba nafasi.... Lakini pia wakashindwa kumkaba hata golikipa wao..... Hapa Ronald Coleman na timu yake walikuwa wanaiwaza fiesta sana kuliko kumuwaza hazard na wakasahau Jana ni tarehe tano......

Everton wanauzi bhn ila Chelsea wanakera zaidi asee...
 
Courtois has not conceded a goal for around 700 minutes...he must be bored of dominating...
 
1. Chelsea have joined the party as five teams chase title glory
It was a performance that was worthy of champions, and there is little doubt Chelsea's 5-0 spanking of Everton suggests they are in this for the long haul.

After Manchester City carelessly spilled points in their 1-1 draw with Middlesbrough at the Etihad, Chelsea cashed in by setting about sixth-placed Everton with a devastating display of power and pace that left the visiting side happy to escape from Stamford Bridge shipping only five. It could have been a lot worse.
 
Chelsea vs Everton 5/11/2016

Capture.PNG
 
Kombe linazidi kupakwa rangi ya Bluu.
 
Sasa tunamfuata middlesbrough kwao tarehe 19
Baada ya hapo ni kidume kingine tottenham kinatakiwa kije stamford bridge

Mi namtaka guardiola hiyo december 3.... Nimuonyeshe kuwa epl sio mahali pa spot spot

Mdogo mdogo tu, mmoja baada ya mwingine....Ushindi wa jana umepita sasa ni kuangalia jinsi ya kuikabili Boro baada ya International break.

Naamini tutafika tu

[HASHTAG]#KTBFFH[/HASHTAG]
 
kwa hiyo hata tungecheza bila goli kipa, bado wasingetufunga .............

Arse888 na loserfools mungu wao mkubwa sana. wanashukuru walikutana na sisi kabla gari halijawaka.

Acha tu mkuu, Yaan kipa angepewa gazeti tu asome....

Hawa akina Wenger na mwenzake tutakutana tu usijali, na malipo ni hapa hapa duniani
 
Hivi uingereza kuna timu ya hatari kama liver kwa sasa? Kuonyesha yeye kiboko baada ya Chelsea kushinda tano wao wakashinda sita
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom