kishumbaz
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 1,482
- 2,038
nilikuwa namaanisha awe anafanya rotation baadhi ya matches kwa no. 10... la sivyo there is no room 4 fab in 3 4 3....Hiyo ni ngumu zaidi kwa kuwa kuna Hazard. Huwezi kuwa na free role players wawili kwenye timu.