Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Naona chelshit chini ya Mourinho wamekuwa the blues chini ya Conte. Hongereni, mpo kileleni kwa sasa.
 
Angalau sasa naweza kuwa naangalia mechi zetu
Sisi twatupia tuuuu 16 goals bila kuingiza
Usiwe muoga mkuu hata kama inafanya vibaya wewe kacheki mpira tu, kidogo sasa hali ni shwari
 
1805.jpg

Chelsea’s Eden Hazard, right, celebrates scoring their fourth goal
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom