Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kwanza kabisa hebu nikaribisheni manake ndo kwanza nabisha hodi humu , mimi mnazi wa chelsea hatari!
ILA KITENDO CHA DIEGO COSTA KUONESHA ISHARA APEWE PUMZIKO NA CONTE BADO SIJALIELEWA MANAKE HAPO MMOJAWAPO AKIJAA SUMU HUENDA TIMU IKASAMBARATIKA KIUSHIRIKIANO.

Karibu sana mdau huku ndo nyumbani kwetu......

kutokana na swali lako mkuu Mentor amekujibu vizuri tu. Kocha lazima aonyeshe yeye ndo mwenye maamuzi kwenye timu na yupo teyari kuchukua hatari zote kwa ajili ya timu. Japo Costa hakufanya kwa malengo mabaya
 
Ahsante mkuu, ni kweli Kocha ameonesha hakuna mwenye maamuzi ya mwisho zaidi yake , nimeelewa jibu la swali langu tupo pamoja wakuu KTBFFH
 
On paper you are good but on reality you are nothing special, hazard peke yake ndio nam admire the rest wanazuilika 100%
Naziona goli za pogbackk, school boy, and the old man kadabra.

And who is alonso by the way??? (Serious Qn) what is special about him???

All of your backline are headless chicken (apart from azipilicueta).

Mkuu herrera nimependa sana kujiamini kwako na kuchanganua mambo kwa mchezaji mmoja mmoja, ila kumbuka chelsea haichezi kutumia mchezaji mmoja mmoja ila timu nzima kama kocha asemavyo "we win together we loose together". inawezekana mchezaji wamuogopa Hazard na kumsifu Azpilicueta. Na timu je? Huyo Pogba akikutana na mtu mbili pale kati Matic na Kante sijui ka atafurukuta...

Na jumatatu sisi tutakuwa karibu sana kuangalia mchezo wenu maana kocha kashaanza kumtupia maneno refa.
 
HAHAAA kaka chelsea ya mou ndio huwa inatusumbua sana lakini hii ya conte sina papara nayo kabisa shaw, blind, bailly na valencia wanatosha kabisaa kuwaficha hao akina coshta, hazard na willian,

kuna kale katoto kashule rashford kakiongozwa na babu yake zlatan wakisaidiana na kaka yake wakufikia tony martial sioni kabisa beki wakuwazuia labda angekuwepo zouma.
mkuu Nonda hawezi akawa upande wa special one HAHAHAAA jamaa anamchukia mourinho huyu dah

Mkuu hao mabeki uliwataja hapo, huyo Bailly atakuwa uchochoro wa Costa (the Tiger) na hao wengine wanavyojifanya wana kiherehere cha kupanda mbele siku hiyo hawatasogea hata kidogo. maana Mou mwenyewe anajua sucker punch ya Hazard na Willian zilivyo.
 
Mkuu herrera nimependa sana kujiamini kwako na kuchanganua mambo kwa mchezaji mmoja mmoja, ila kumbuka chelsea haichezi kutumia mchezaji mmoja mmoja ila timu nzima kama kocha asemavyo "we win together we loose together". inawezekana mchezaji wamuogopa Hazard na kumsifu Azpilicueta. Na timu je? Huyo Pogba akikutana na mtu mbili pale kati Matic na Kante sijui ka atafurukuta...

Na jumatatu sisi tutakuwa karibu sana kuangalia mchezo wenu maana kocha kashaanza kumtupia maneno refa.
HAHAAA pogba hatacheza peke yake mkuu, kuna kale ka spanish midfielder kenye udambwi udambwi mwiiingi wala huwa hakatumii nguvu nyingi zaidi ya akili tu ndio katasaidiana na huyu miguu mirefu
 
HAHAAA kaka chelsea ya mou ndio huwa inatusumbua sana lakini hii ya conte sina papara nayo kabisa shaw, blind, bailly na valencia wanatosha kabisaa kuwaficha hao akina coshta, hazard na willian,

kuna kale katoto kashule rashford kakiongozwa na babu yake zlatan wakisaidiana na kaka yake wakufikia tony martial sioni kabisa beki wakuwazuia labda angekuwepo zouma.
mkuu Nonda hawezi akawa upande wa special one HAHAHAAA jamaa anamchukia mourinho huyu dah
Mourinho ni mpwa wangu,nitamchukiaje?
Pia nilisikitishwa sana kitendo cha Mafiaso wa kirusi kumtupia virago mlangoni na kumwonyesha mlango wa kutokea. Nililia kwa furaha na kucheka kwa masikitiko. Domokaya ni ndugu wa karibu na Nonda.
Nonda hamchukii Mou isipokuwa nachukia upayukaji na majivuno yake.

Guardiola ni kocha aliyepata mafanikio kama Mou domokaya lakini ni mnyenyekevu na wala haongei kwa ndimi kama mlokole Mou.

Wewe umeona Ranieni alipochapwa 3 na Conte alikwenda kumbusu na kumshukuru kwa "ruzuku" aliyompatia. Mou angelikimbia uwanja na kumpa mkono mpinzani wake na pia angelilaumu kila mtu, kuanzia wachezaji,madaktari wa timu,washangiriaji isipokuwa yeye mwenyewe tu.

Tumuache Mou awe Mou. Waswahili huku kitaa wanasema tabia haina dawa. Kutaka Mou abadilike ni sawa na kutaka fisiem waache kuchakachua matokeo ya kura wakati wa uchaguzi mkuu, haitawezekana.
 
My brother herrera, tangu lini man utd akaifunga Chelsea hii! Nakuhakikishia siku hiyo hadi Nonda atakuwa upande wetu!!!
Ninavyoelewa ni kuwa Moureen ana hasira kwa Chelsea kama dokta Eva alivyo na hasira kwa Mou. Na Mou amepata nafasi ya kuja daraja bovu kujaribu kujidhihirisha kwamba yeye ni "the happy one, the special one". Zigo zito atalibeba Conte na baada ya dakika 90 ndio tutaelewa nani "amemjaribu" mwenziwe, Mtu zingine hazijaribiwi.

Je umoja wa mafiaso, mafiaso wa kirusi na mafiaso wa kitaliano wataweza kumziba mdomo mpayukaji au Domokaya litatawala media siku hiyo?

Nitakachoangalia siku hiyo nikibahatika ni mpira, mbinu na ufundi wa kutandaza carpet na sio mieleka au kuegesha daladala au basi. Atakayefuzu vigezo hivyo ndiye nitakayemuunga mkono.
 
...alitaka kutoka ili asipate kadi ya njano (ambayo ingekuwa ya tano) ashindwe kucheza mechi jumapili ijayo dhidi ya Man UTD. Hakufanya kwa ubaya ila nimempenda kocha kwa kumpuuza maana ukianza kumsikiliza kila mchezaji uwanjani utashindwa kuongoza timu! Hakufanya out of dharau but out of passion!!!! Pundits wameikuza negatively tu...kina Nonda na nduuze.
Nimefurahi sana kwa kunijulisha kwamba michango yangu unaifuatilia kwa makini na inakufikirisha sana. Ni matumaini yangu kwamba michango yangu haikukoseshi usingizi au kuamsha mihemko na hisia kali kwa kumkichwa na moyoni.

Nimeanza kuona dalili katika posts zako kwamba unaumia kihisia. Angalia post # 33395
Link The Chelsea FC Thread

Je post husika ilielekezwa kwangu?
Je mume zako wewe ni yupi/zipi?
 
3967EC5500000578-0-image-m-18_1476532390282.jpg

CAHILL LEO AMEKUWA SO COMPOSED SIJUI NI KWA SABABU YA KAZI NZURI YA NGOLO NA MATIC??? KACHEZA VIZURI KWA LEO NIMPE SIFA YAKE...
Naona conte anakuja na mfumo 3-4-3 ameshinda dhid ya hull city na leicester
Pia ni mpongeze kwa kutokumchezesha ivanovic
 
big up chelsea, hivi kwa nn watu hawaipi nafasi chelsea kutwaa ubingwa ? mbona mimi naona wanacheza vizuri na tofauti ya point ni ndogo
 
big up chelsea, hivi kwa nn watu hawaipi nafasi chelsea kutwaa ubingwa ? mbona mimi naona wanacheza vizuri na tofauti ya point ni ndogo

Ni kweli mkuu watu wanawapa Man city zaidi ubingwa kutokana na wachezaji walionao na Kocha wao (Guadiola) ambaye amekuwa na mafanikio kule Barcelona na Bayern Munich.

Ila kweli ni kwamba kuna timu 6, Chelsea, Manchester Utd, Manchester city, Totenham Hotspurs, Arsenal na Liverpool yeyote kutokana na makosa ya wengine wanaweza kuchukua ubigwa.

Japo kwa sasa ni mapema kusema ila kila timu imeshaona ugumu wa ligi ya msimu huu.
 
Hapo toa Arsenal, Tottenham na Liverpool...hao huwa ni wasindikizaji ALWAYS!!!
 
Emenalo out
Anakuja mwingine na huyu ni mkurugenzi wa ufundi wa AC roma

duh hii breaking news nzuri huyu jamaa nahisi ndo alikuwa tatizo pale chelsea...sijui..ila nahisi..sasa Mikel naona akiondoka kama si January basi Summer!!!
 
duh hii breaking news nzuri huyu jamaa nahisi ndo alikuwa tatizo pale chelsea...sijui..ila nahisi..sasa Mikel naona akiondoka kama si January basi Summer!!!
First that's just a rumor. Secondly emenalo is abramovic friend so he womt go, third i read in daily mail that even if sebbatini will come at Chelsea, it will be a different role and emenalo will still be there... Oh and there is no AC Roma. It's as roma
 
duh hii breaking news nzuri huyu jamaa nahisi ndo alikuwa tatizo pale chelsea...sijui..ila nahisi..sasa Mikel naona akiondoka kama si January basi Summer!!!
Haya ni maombi ya conte kua hamuitaji tena emenalo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom