Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Wewe utakuwa umekisoma kitabu chetu na chenyu kinyume nyume. Ndio sababu ulipata ufahamu wa "kichina"/mistery kama mnavyouita utatu.

Vipi lini Conte anasindikizwa mlangoni na begi lake na nafasi kupewa yule kocha wa England kwa siku 67? Anko Sam.

Tehe tehe tehe kile chenyu ndo kiko mbele nyuma na kushoto kushoto...

Conte hatoki pale mpk tubebe ndoo ila usiniambie ndoo za segerea.
 
Kuna kijana amenitonya kuwa wewe ni mjukuu wa kamanda 0. Intelijensia ya vitu vya ncha kali.
Kwa kwa kwa kwa

Nonda acha hizo bhana mbona unakua na hofu hivyo kwa binadamu mwenzako?

Wapi my mamitoh everlenk? I Missed her so badly that I can't breath..... Agaya kemba nahaye ginehe bandugu Nonda?
 
Kwa kwa kwa kwa

Nonda acha hizo bhana mbona unakua na hofu hivyo kwa binadamu mwenzako?

Wapi my mamitoh everlenk? I Missed her so badly that I can't breath..... ... bandugu Nonda?
Zipo binadamu zinasema, "mimi ni mtetezi wa wanyonge, baadae anawageuka na kuwaambia ninyi ni wanyonge nitawanyonga na nitamfanyeni muishi kama mashetani na mkilalamika, nawatumbua"
Vipi nitaacha kupata hofu? Wakati unaona jinsi anavyotumbua? Anatumbua mutuz, na vitu, kwa laha zake, mweee!
 
Acheni Mapovu. Wenger Anaonewaga Na Mourinho Not Chelsea. Angalia Kabla Ya Mourinho Wenger Kapigwa,Alivyoondoka Mourinho Kawapiga Chelsea Mara Kibao Mara Tano Mara 3 Mara 2. Alivyorudi Wenger Kafyatuliwa Alivyoondoka Hadi 6 Kawafunga Chelsea. Najua Hata United Wataifunga Arsenal Koz Ya Mourinho Na Zlatan Ni Mwiba Kwa Wenger.
Na Kuhusu Backline,Mna Bahati Mbaya Sana Kukutana Na Izo Timu Mkiwa Ivyo. Same Situation Iliwatokea Arsenal Hawana First Choice Defenders Alafu Wakakutana Na Liver Na Leicester Ila Walikua Na Bahati Usajili Ulikuwa Bado Haujafungwa... Mtastabilize Soon. Mlizoeshwa Vibaya But Siku Zote Nawashauri Ukiona Arsenal Haina Giroud,That Arsenal Is Dangerous!
 
Zipo binadamu zinasema, "mimi ni mtetezi wa wanyonge, baadae anawageuka na kuwaambia ninyi ni wanyonge nitawanyonga na nitamfanyeni muishi kama mashetani na mkilalamika, nawatumbua"
Vipi nitaacha kupata hofu? Wakati unaona jinsi anavyotumbua? Anatumbua mutuz, na vitu, kwa laha zake, mweee!
Mkuu sijakuona kwenye jukwaa la zanzibar na cuf
 
Mkuu sijakuona kwenye jukwaa la zanzibar na cuf
Wewe unafanya nini huko? ID yako imeanza kukusuta kama vile nafsi ilimsuta Pro-pesa au anaitwa Polo-pesa?
Wewe ni katika timu cisem ya kupanga michakato na mikakati ya kudumaza na kuweka nia ya kuua upinzani?

Siasa haitaki kiherehere. Au tulipeana ahadi ya kukutana jukwaa la zanzibar na cuf? Wewe vipi?

Hull anachimba shimo la kuizika Chelsea.
 
Link The Chelsea FC Thread

Tathmini ya Conte baada ya kukutana na "ngariba" Wenger.

"We must work a lot because we are a great team only on paper. [From] the first minute we did not have the right attitude," Conte said.

Mentor, Enzo, Nando, Kalou, CleverKING mnakubaliana na tathmini aliyofanya Conte?

PRONDO, NZI, Mbu ziko pande hii?

Link Antonio Conte doubts Chelsea attitude after Arsenal loss
Nonda bhana.....

Kwakwakwakwaaaaa. Kwa! Tih.

Manager Antonio Conte says he does not have "a magic wand" to solve Chelsea's problems after taking only one point from their past three Premier League matches.

Link Antonio Conte: No magic wand to fix Chelsea's problems

Media imeanza kumchimbia kaburi mafiaso wa kiitaliano.
 
Back line ya Chelsea leo itakua Luiz, Terry na Cahill.
Mid za kati watakua Kante na Matic wakisaidiwa na beki za pembeni.

Hazard Costa na Willian watakua mbele hapo
 
Back line ya Chelsea leo itakua Luiz, Terry na Cahill.
Mid za kati watakua Kante na Matic wakisaidiwa na beki za pembeni.

Hazard Costa na Willian watakua mbele hapo
Hii umejitungia au!??
 
Team to face Hull City: Courtois, Azpilicueta, Alonso, Cahill (c), David Luiz, Kante, Matic, Moses, Willian, Hazard, Diego Costa. [HASHTAG]#CFC[/HASHTAG]


Today's subs: Begovic, Ivanovic, Chalobah, Fabregas, Oscar, Pedro, Batshuayi. [HASHTAG]#CFC[/HASHTAG]
 
Naona Conte mpaka sasa anatafuta kikosi...haya tumpe muda.
 
Hii nguvu tunayotumia kucheza na Hull ni aibu...too much hata kama wameanza msimu vizuri.
 
Na hata hivyo bado wachezaji hawajaelewana kwenye huu mchezo, wanakimbia kimbia tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom