Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

It is very very easy to deal with teams playing with 4-5-1 or 3-4-2-1 systems. Defenders wanadeal na Costa tuu na kazi inaishia hapo. We need to play with 2 strikers. Wake up Conte!
 
Anatakiwa kabla ya 60' afanye sub ya hawa: V. Moses Matic na Willian/Alonso

Waingie M. Batshuayi, Fabregas na Oscar
 
Goaaaaal from Willian lakini nampe heko sana Costa mechi ya leo na ile ya juzi amecheza sana...wingers wanamuangusha ni kama hawafanyi wote mazoezi yani.
 
Ahahahaha and Costa is rewarded...with a splendid goal
 
Nimependa work rate ya Costa....na amekuwa mpole sana tese days bila kuathiri makali yake
 
Kweli kabisa dakika za Batchuayi hizi, ila Conte mpaka dakika ya 80 ndo huwa anafanya subs
 
2562.jpg

Willian scores to put Chelsea 1-0 up
 
Mechi imeisha:

Hull 0 - 2 Chelsea.

Man of the Match: Diego Costa

Akifuatiwa kwa ukaribu sana na: N'Golo Kante
 
Full time: Hully city 0 - 2 Chelsea
Willian 61', D. Costa 67'


Hongereni wana-blues wenzangu wote. [HASHTAG]#KTBFFH[/HASHTAG]
 
3600.jpg

Diego Costa celebrates bringing Chelsea to 2-0
 
Hii nguvu tunayotumia kucheza na Hull ni aibu...too much hata kama wameanza msimu vizuri.
Hayo ni maandalizi ya kumkabili Mahrez, Drinkwater(maji ya kukula) na Vady. Au umeshazoea kupoteza mechi siku hizi?
 
Nimependa work rate ya Costa....na amekuwa mpole sana tese days bila kuathiri makali yake
Hapo nyuma umeponda "nguvu" inayotumika dhidi ya Hull (timu ya Nonda) baadae unasema unapenda maguvu na mieleka ya Costa. Vipi Mentor-eee?
 
Hapo nyuma umeponda "nguvu" inayotumika dhidi ya Hull (timu ya Nonda) baadae unasema unapenda maguvu na mieleka ya Costa. Vipi Mentor-eee?


tofautisha work rate na mieleka!!! why am I even bothering to reply...

Pole kwa kufungwa! bye
 
tofautisha work rate na mieleka!!! why am I even bothering to reply...

Pole kwa kufungwa! bye
Ukifungwa unatafuta mbinu mpya ili ushinde.
Hujasoma michango hapo juu, wachezaji wanakimbia kimbia tu uwanjani kama matairi ya Yokohama kwenye barabara za Bongo?

Link The Chelsea FC Thread
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom