Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

1474785376175.jpg
PALE SHABIKI WA CHELSEA ANAPOULIZA NA CANTE ALIKUEPO!?
 
Watu wanashindwa kukujibu maana wanajua wewe ni chizi, yaani kila mechi ya chelsea inafanyika darajani?
😀😀😀😀😀😀 Mkuu msamehe bure aisee! Wengine huwa wanataka tu waonekane kua na wao wapo katika hii dunia,ndio maana hujiandikia lolote tu, teh! teh!
 
😀😀😀😀😀😀 Mkuu msamehe bure aisee! Wengine huwa wanataka tu waonekane kua na wao wapo katika hii dunia,ndio maana hujiandikia lolote tu, teh! teh!

mpira anaofundisha Conte wa kutumia wing zaidi badala ya kumiliki kiungo haufanyi kazi England, akiendelea hivi atafungwa sana mpaka na tu team tudogo.
 
mpira anaofundisha Conte wa kutumia wing zaidi badala ya kumiliki kiungo haufanyi kazi England, akiendelea hivi atafungwa sana mpaka na tu team tudogo.
Kaka utasema yote hayo sababu tumefungwa, ukweli ni kwamba jana arsenal walijua fika kuwa chelsea wanakocha asiyeijua emirate so kilichofuata ni kumsurprise jamaa walikuwa very aggressive and very sharp ni kukimbia kila kona ulipo mpira hawakuwa na shida ya possession kabisa wakiupata ni mbio tuu, mourinho analijua hilo ndo maana huwa hataki mzaha emirate akipata droo huyoo anajisepea zake
 
Acha kukata tamaa kirahisi hivyo!
Kaka sisi watu wa Soka kikwelikweli, Hebu nambie Chelsea mechi gani tulicheza na kushinda bila kusawazisha kwanza tena dakika za lala salama

Kaka timu ina wachezaji Wazuri ila hawajaelewana kabisa, na ukiangalia vizuri unaona kabisa tuna shida ya kocha,

Jamaa wa Mancity kaibadirisha sana ile timu na ndio hapo unapoona kocha bora na sio bora kocha
 
Management ya Chelsea ilichangia Mourinho kuchemsha na sasa wanasababisha Conte achemshe.Conte hakupata wachezaji aliowaitaji(Bonucci,Koulibaly,Naingollan,Morata) .Cahill, Fabregas, Luiz hawafit kwenye mfumo wake

Pep amefanikiwa sababu wachezaji wengi aliowakuta wanafit kwenye mfumo wake (Silva, Sterling,wanaondokaStones, KDB, Kolarov, Gundogan,Fernandinho) ambao hawafit (Hart,Toure,Nasri, Bony, Mangala) alihakikisha wanaondoka
 
So unahamini Conte ni chaguo sahihi? Ngoja tuone kaka, inapaswa tuwe makini sana, tusije kuishia nje ya timu zinazoqualify kucheza Europe League kama msimu uliopita
 
Khaaa mwaka jana na mwaka huu yawe yale yale hapana
Tathmini ya Conte baada ya kukutana na "ngariba" Wenger.

"We must work a lot because we are a great team only on paper. [From] the first minute we did not have the right attitude," Conte said.

Mentor, Enzo, Nando, Kalou, CleverKING mnakubaliana na tathmini aliyofanya Conte?

PRONDO, NZI, Mbu ziko pande hii?

Link Antonio Conte doubts Chelsea attitude after Arsenal loss
 
Jamani tusubirini mechi ya hull city ambayo nayo mara nyingi ni kasheshe kwa chelsea ingawa huwa amashinda hivyo hivyo, jana Cahil alimwaga mboga sachez hakujali akahakikisha na ugali hapati so ni marekebisho yanahitajika ili timu iwe solid
Pia falsafa za mpira wa kiitaliano zinahitaji muda kueleweka kwa wachezaji ndo maana alikuwa anataka sana wachezaji kutoka italia, mambo yasingekawia kwenda vizuri kama pre season ingekuwa ndefu kidogo lakini sasa hivi tuvumilie
Pia wachezaji hasa kama matic na fabrigace wanashindwa kutumia uzoefu wao kuituliza team kama ilivyokuwa zamani so mbinu za kocha zinahitajika zaidi
 
Acheni Mapovu. Wenger Anaonewaga Na Mourinho Not Chelsea. Angalia Kabla Ya Mourinho Wenger Kapigwa,Alivyoondoka Mourinho Kawapiga Chelsea Mara Kibao Mara Tano Mara 3 Mara 2. Alivyorudi Wenger Kafyatuliwa Alivyoondoka Hadi 6 Kawafunga Chelsea. Najua Hata United Wataifunga Arsenal Koz Ya Mourinho Na Zlatan Ni Mwiba Kwa Wenger.
Na Kuhusu Backline,Mna Bahati Mbaya Sana Kukutana Na Izo Timu Mkiwa Ivyo. Same Situation Iliwatokea Arsenal Hawana First Choice Defenders Alafu Wakakutana Na Liver Na Leicester Ila Walikua Na Bahati Usajili Ulikuwa Bado Haujafungwa... Mtastabilize Soon. Mlizoeshwa Vibaya But Siku Zote Nawashauri Ukiona Arsenal Haina Giroud,That Arsenal Is Dangerous!
 
Barça - *MSN*- Messi Suárez Neymar

Madrid - *BBC*- Bale Benzema Cristiano

Man utd - *RIP* -Rooney ibrahimovic Pogba

Mancity - *AIDS*-- Aguero Ihenacho De Bruyne Sterling

ARSENAL- *ATM*- _Alexis Theo Mesut_

Chelsea- *TOILET* -Terry Obi Ivanovic Loftus Eden Thibaut

Similar Discussions

Back
Top Bottom